Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Hapa Afrika hususani Tanzania kuna imani za aina mbalimbali zihusuzo mambo tofautitofauti katika jamii yetu.Zimekuwepo tangu enzi na enzi na kadri miaka inavyokwenda nazi zinaendekea kuwepo ingawa sio kwa ukubwa huo.
Zipo imani kwenye vyakula(food taboos) mfano mama mja mzito na mayai.Wengine wanasema ukilala usiku na mfupa wa kitimoto wanga hawakusumbui!Sijui ikitokea mama mja mzito akamchukia mtu basi kuna uwezekano mkubwa akazaa mtoto anayefanana na huyo mtu!Ukimuona bundi ni dalili ya mkosi....na kadhalika na kadhalika.
Sasa kuna hii nyingine ambayo Kwangu ni mpya na imenishangaza sana.Sijui wenzangu kama mmeisikia au kuwatokea labda...
Kuna mzee wa makamo tulisafiri nae kwenye basi.Kwenye ile kuangalia mazingira kando ya barabara akaona nyumba moja ina miti ile mirefu inayokuwa na matawi kama ngazi ngazi(siijui jina kwakweli).Ni mizuri kimuonekano na inapendezesha Sana nyumba.Akaanza kudai kuwa mizizi ya hiyo miti ni mirefu na huwa inaingia ndani.Ikishakuwa hivyo nyumba yenye hiyo miti ni lazima afe mwanaume.Na pia migogoro ndani ya nyumba ya hivyo haiishi hasa ya mme na mke!Anashuhudia kuwa kuna rafiki zake wawili wameshafariki kabla hajajulishwa hiki suala.Pia kuna mama baada ya kufiwa na me wake akawa haelewani na watoto wake,hawapigi hata simu.Baada ya kutembea kwa wataalam(hapa naeleweka vizuri tuu!) akaambjwa aukate huo mti na kisha amwagie oili Ili kuua mizizi Iliyoingia ndani Baada ya kufanya hivyo watoto wake wakabadilika wakawa na mapenzi nae.Mzee anaongea kwa kujiamini kuwa anamaanisha anachokisema na akawashauri watu mule ndani kama wana hiyo miti wakaikate kabla haijaanza kuwaathiri.....
Je kuna mtu pia kawahi sikia kuhusu hili..ukweli ukoje maana hii dunia ina siri nyingi sana huwezi amini
Miti Ina nguvu za kiroho
Ungemuuliza jina la hiyo miti maana miti yenye ngazi ipo aina nyingi sana
🙏👍Itakua anamaanisha panga uzazi
View attachment 2308805
Kwani mkuu, watu kama Hitler, Osama etc waliumbwa na nani? Mbona walileta madhara kwenye dunia...Miti yote ya Mwenyezi Mungu, yeye ndie ameumba miti hiyo, sasa iweje mti huo uwe na madhara! Kuna jamaa zangu wana mti mkubwa ndani ya fensi, tena miaka, lakini hakuna kibaya kilichotokea.
Tupenina ushuhuda wa hilo
Usibishe au kukebehi kila kitu mkuu, mwisho wa wewe kujua jambo ndio mwanzo wa mwingine kulijua zaidi.Huu ujinga utakuta ameuanzisha mswahili mmoja tu kwa ujinga wake, hii miti kiuhalisia asili yake sio afrika ilitoka ithink ni ulaya lakini cha ajabu sijawahi kusikia eti wazungu wanailalamikia eti inaleta mikosi, je nyumba zisizo na hii miti mikosi yao inatokana na nini na je maeneo ya jangwani ambako mimea ni nadra hakuna mikosi, hii miti kwetu tumeipanda ina miaka 13 sasa
Kwani mkuu, watu kama Hitler, Osama etc waliumbwa na nani? Mbona walileta madhara kwenye dunia...
Unajua chochote kuhusu elimu ya mimea?MTU akiyeelimika na mwenye iman thabiti hawezi kuamini vitu vya kijinga kama hivi. Mleta uswahili tu hapa
Siyo Uzazi wa mpango?Ni kweli huo mti unaitwa mkungu
Wale walikuwa ni mashetani waliovaa mwili wa mtu shetani katika umbo la mwanadamu thus Hittler alikuwa akibadilika sura anatoka kwenye ubinanadamu pindi akiivaa ile roho impayo nguvu hiki kitendo cha kubadilika sura wanacho wachawi wengi wa degree ya 33 freemason wakiwemoKwani mkuu, watu kama Hitler, Osama etc waliumbwa na nani? Mbona walileta madhara kwenye dunia...
Hapo ndio point yangu ilipo, kwamba vibaya na vizuri vyote vipo kwenye hii dunia na viliumbwa kwa sababu maalum... Tatizo linakuja pale binadamu tunapo vitumia vitu vinavyo tuzunguka bila kuwa na maarifa ya kutosha.Ni nafsi ya mtu tu hiyo, mbona huongelei marekani na washirika wake unyama walioufanya kwa civilians!!
Ndio mkuu, lakini tunarudi palepale vyote viliumbwa.Wale walikuwa ni mashetani waliovaa mwili wa mtu shetani katika umbo la mwanadamu thus Hittler alikuwa akibadilika sura anatoka kwenye ubinanadamu pindi akiivaa ile roho impayo nguvu hiki kitendo cha kubadilika sura wanacho wachawi wengi wa degree ya 33 freemason wakiwemo
Chanzo cha mikosi ni vingi sio lazima mti huo.Huu ujinga utakuta ameuanzisha mswahili mmoja tu kwa ujinga wake, hii miti kiuhalisia asili yake sio afrika ilitoka ithink ni ulaya lakini cha ajabu sijawahi kusikia eti wazungu wanailalamikia eti inaleta mikosi, je nyumba zisizo na hii miti mikosi yao inatokana na nini na je maeneo ya jangwani ambako mimea ni nadra hakuna mikosi, hii miti kwetu tumeipanda ina miaka 13 sasa
Hata shetani anaumbaNdio mkuu, lakini tunarudi palepale vyote viliumbwa.
A always mnbnbnnsnUnajua chochote kuhusu elimu ya mimea?
Unajua chochote kuhusu nguvu za asili?
Unajua chochote kuhusu Roho, nafsi na mwili?
Unajua chochote kuhusu elimu ya maumbo ya vitu, wanyama, ndege, upepo, moto, maji, nk
Hivi ni kwa uchache tu
I always naamini katika sayansi tu hivyo vingine kama maumbo, moto, maji, upepo ukivitafsiri vibaya lazima vikuletee madharaUnajua chochote kuhusu elimu ya mimea?
Unajua chochote kuhusu nguvu za asili?
Unajua chochote kuhusu Roho, nafsi na mwili?
Unajua chochote kuhusu elimu ya maumbo ya vitu, wanyama, ndege, upepo, moto, maji, nk
Hivi ni kwa uchache tu