Nancy herman
Member
- Apr 29, 2013
- 35
- 8
ha haaa, mi nilidhani ni mzuri sana ndo maana amekata tamaaWe jidanganye na ubaya wako uone kama hujadoda?
ha haaa, mi nilidhani ni mzuri sana ndo maana amekata tamaa
Una uhakika wewe ni mzuri? Uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtu sio watu.ha haaa, mtu keshakata tamaa.....
mbona mimi mzuri na nimeolewa na nimedumu kwenye ndoa miaka kibao?
au tuulize unazungumzia uzuri gani?
cc. Kongosho
nipo shosti......vipi shosti upo weye?
ndo maana na mimi nimesema ni mzuri kwenye macho ya mtu (hasa mimi mwenyewe) sio watu........Una uhakika wewe ni mzuri? Uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtu sio watu.
Wana Jf,
Mie ni mgeni hapa. Naomba nitumie nafasi hii kwa malengo mawili makubwa. Moja ni kubisha hodi ili wenyeji mnipokee na kunionyesha njia. Pili ni kuwakilisha mada inayohusu hicho kichwa cha habari kama ifuatavyo.
Kuna imani kubwa katika jamii na ni mara nyingi nimekuwa nikisikia watu wakiongea kwa wakati na mahali mbali mbali kuwa asilia kubwa ya wanawake wazuri hawaolewi.
Mie sielewi kama ni kweli ama ni uongo. Nawasilisha kwenu wadau mnipe mawazo yenu kama mnakubaliana ama kukataliana na hili.
Nawapenda nyote,
Asanteni.
Ahsante kwa ufafanuzi.ndo maana na mimi nimesema ni mzuri kwenye macho ya mtu (hasa mimi mwenyewe) sio watu........
na ukiangalia hapo chini nimemwomba atuambie huo uzuri ana maana gani
bado unarusha ndoano!!!
Kumbe wewe ni mzuri? Tutahakikishaje?mbona mie ni mzuri na wanaume waligombania kuniwowa tatizo sio uzuri au ubaya - is she/he a wife material?????
hapo chachambona mie ni mzuri na wanaume waligombania kuniwowa tatizo sio uzuri au ubaya - is she/he a wife material?????
ni twin wangu......Kumbe wewe ni mzuri? Tutahakikishaje?