KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,680
- 8,868
Kwa kasi aliyoanza nayo Rais JP Magufuli nadhani nyote mnaikumbuka lakini baada ya kikao kilichoendeshwa ndani ya Ikulu na makada wa CCM wakiongozwa na M/kiti wa chama hicho, speed ya kukamata wa ujumu uchumi na wabadhilifu wa mali ya umma imepungua kwa takribani aslimia 58% na kufanya watu waanze kuhoji ile speed iko wapi?
Maana hata Mh Waziri Mkuu hasikiki utadhani wote hawapo pia kimtazamo sehemu nyingi zenye majipu ni nyingi sana, maana kwa kaulimbiu yake ya kutumbua majipu ilikuwa inawafanya watu warudishe imani naye baada ya kutumbua ya TPA na TRA na MNH watu wakajua Rais amepatikana ambaye Tanzania walimngojea kwa mda mrefu!
Lakini minong'ono kuwa kile kikao kilimpiga gavana sasa naanza kuamini kuwa uenda kuna ukweli ndani yake!Maana wenye majipu ndani ya CCM yawezekana wakaona wataumbuka nakumuomba M/kiti amdhibiti kwa kutumia rungu lake pamoja na CC,..
Hivyo Rais tunaomba asitishwe apige mzigo hata mwizi akiwa ni mwanae na yupo nyumbani kwako, piga pingu! Vinginevyo watakuangusha baada ya kipindi chako cha miaka mitano.

Last edited by a moderator: