Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,397
- 17,783
Wakati nikiwa mdogo nilikuwa nasikia watu wakisema eti jogoo akizeeka anataga kila wiki mara moja. Leo nikiwa mahali nimewasikia tena watu wakisema kuhusu jogoo kutaga. Je kuna ukweli wowote?