..Ni kweli hili nipe jibu

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,460
78,661
....kuwa Mwanaume anaweza kuwa na Wasichana/wanawake hata wa 3..lakini ukimuuliza kati ya hao..unaoa Yupi ni rahisi kujibu Fulani naoa...ila wale wengine nazuga tu...ila fulani ndio mama mwenyewe

.....Lakini kwa Mwanamke... akiwa na wanaume/ Wavulana wa 3...Tofauti..hawezi kujua ni nani kati ya hao atakaye muoa...sana sana utasikia ..aah mwenzangu wanaume wanahaminika hawa...?

...Nauliza tu kama Ni kweli...?
 
Tukuulize wewe kwanza,hapo ulipo,unamjua mama watoto wako?.Ndipo tutasema kweli au si kweli.:smow:
 
Miye nishaoa kwahiyo swali halinihusu, napita tu baada ya kukosea njia
 
Back
Top Bottom