Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,374
Cc:Watu wanajpgia debe ngoja na mimi nije na story kuwa mpenzi ananishangaza nikimpa milion mbili aende shopping anakataa yeye anataka laki tu.
Manajukwaa mnanishauri nifanyeje awe anachukua hiyo milioni mbili.
[emoji1] [emoji2] [emoji4] nisipopata pm ntaenda kw mshana jr kutambika
Hahahaha mkuu umenichekesha mbele za watu...Watu wanajpgia debe ngoja na mimi nije na story kuwa mpenzi ananishangaza nikimpa milion mbili aende shopping anakataa yeye anataka laki tu.
Manajukwaa mnanishauri nifanyeje awe anachukua hiyo milioni mbili.
[emoji1] [emoji2] [emoji4] nisipopata pm ntaenda kw mshana jr kutambika
Mkuu hapa kujiongeza tu maana naona mbinu za vijana siku hizi zinabadilika kwa mwendo kasi kama teknolojia ya smart phonesHahahaha mkuu umenichekesha mbele za watu...
Nendeni na hela, handsome haongi...anahongwa.Sawa tunakuja
Haaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nendeni na hela, handsome haongi...anahongwa.
Haaahma hand some huwa ni watoto wa shule na wale ma fashion designer