Ni kweli handsome boy wanasumbua?

Hakuna mwanadamu mbaya...wote tuliumbwa kwa mfano wa Mungu. Pia jinsi unavyojichukulia ndio jinsi wengine watakavyokuona, ukijiamini wewe ni mzuri basi ni mzuri...ukijiona wewe ni mbaya hata wengine watakuona hivyo pia. Suala la ubaya na uzuri linahusisha zaidi self esteem. Mi napenda tu mwanaume msafi anayejua kupangilia mavazi yake hata akiwa mbaya...yaani kwa lugha nyingine mtanashati inatosha, mambo ya sura tuwaachie mamodo wa Mustapha Hassanali.
 
Sawa sister ndio maananikauliza nipate elimu zaidi
 
Sawa sister ndio maananikauliza nipate elimu zaidi
Sema kila mtu ana taste yake...wengine wanawapenda nyie mahendisamu. Kuhusu kusumbua hamna kitu kama hicho usumbufu ni tabia ya mtu tu ile ya asili japo malimbukeni wachache ndio huwa wanakuwa wasumbufu wakifaham wao ni mahendisamu.
 


!
!
mkuu vipi...hii id mnatumia wawili au?
 
Nakusaidia kufanya tangazo lako lieleweke kirahc..." Mimi ni handsome natafuta mabinti wanaohtaj wanaume wa namna yangu, idadi siyo tatizo, waje kadr wawezavyo kila mmoja atapata ninachotaka kumpa"
 
Mwanaume wa kujipenda sana ni problem, mwanaume anavaa kiatu cha US$500 bill ya $200 anakutegea wewe ili yeye akanunue kiatu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…