Ni kweli hakuna wanaume waaminifu?

Ni kweli hakuna wanaume waaminifu?

Wapo wanaume waaminifu sana
Na ili waendelee kuwa waaminifu, sisi wanawake tunaweza kuwasaidia zaidi kudumu kwenye uaminifu

Sio rahisi sana lakini sio ngumu sana pia

Msinipopoe

Wakati mwingine mnasababisha ss ku-cheat
 
Wapo.

Kuna mwanangu yeye hutulia na manzi mmoko, hushangaa how comes mtu unakua na madem shazi.

Wapo sana mkuu ila ni nadra kuwapata. Hasa wale watu wanaopenda kusomasoma vitabu, wenye principles zao za maisha wengi wanakuaga na manzi mmoko.
Sisi na kina rikiboy tutakuliza.

Mkuu wapo wasio cheat lkn ni wachache.. lkn jambo gumu zaid huwezi jua ni yupi asiye cheat na anae-cheat.. mrudie tu huyo myajenge coz unaweze kukutana na mtambo ukajuta kumuacha huyo aliye ku-cheat
 
I cant tolerate continuing with a person after i found evidence he has been cheated,as a result i end up single without relationship,and it is very hard to start new relationship for us loyal. Kwa maana hiyo aliongopewa ama wewe ndiye uliyeongopa?
 
upate tu ambae akuumizi , ukitaka wa peke ako labda upewe udongo umuumbe
 
Wapo wengi tu. Mwanaume ambaye ni introvert na hapendi sana kujichanganya na hana marafiki wengi sana. Mara nyingi hupendelea kukaa pekeyao home weekend na hupenda kuwa bize na mambo yao popotw walipo.

Mtu wa hivi mnasemaga sio romantic ila ndo ivyo akisha kupenda na mkaendana huwa hawez cheat.

Ni ngumu sana kuonyesha hisia zao na anaweza akawa anakupenda ila ukapita ata mwaka kakuweka friendzone tu. Na siku akikutamkia anaweza kukaa kimya pia baada ya apo ukaonaona kama anakupotezea ila ndo alivyo.

Date the introvert you will never regret.
Introvert wengi wanaumizwa sana na mapenzi. Maana mapenzi Kwa Sasa imekuwa kama vurugumai. Wao hawawezi mazingira hayo wapo cool sana na mambo Yao. Hivyo kama Mwanamke naye yupo juu juu ni heri aendelee na extrovert wenzake. Hawaache introvert waenjoy maisha Yao.
 
Wapo wengi tu. Mwanaume ambaye ni introvert na hapendi sana kujichanganya na hana marafiki wengi sana. Mara nyingi hupendelea kukaa pekeyao home weekend na hupenda kuwa bize na mambo yao popotw walipo.

Mtu wa hivi mnasemaga sio romantic ila ndo ivyo akisha kupenda na mkaendana huwa hawez cheat.

Ni ngumu sana kuonyesha hisia zao na anaweza akawa anakupenda ila ukapita ata mwaka kakuweka friendzone tu. Na siku akikutamkia anaweza kukaa kimya pia baada ya apo ukaonaona kama anakupotezea ila ndo alivyo.

Date the introvert you will never regret.
Oi mbona unanieleza kama nilivyo aisee naweza tongoza leo ,afu kesho sina habari nae tena hata mwezi unaweza isha bila kumlazimisha anijibu ndio au akatae atajua yeye
 
I just want to know the reality of life,is it true all men cheat???
I have ended my long relationship because of cheating.I cant tolerate continuing with a person after i found evidence he has been cheated,as a result i end up single without relationship,and it is very hard to start new relationship for us loyal women who we dont have multiple partner at the same time.
I am longing to have a serious relationship and settle,the problem is i have developed trust issues,i dnt trust if faithfull and loyal men exist anymore.Alot of people advising,for nowdays society it is better to accept cheating and learn to start cheating too in order to go with the flow and avoiding lonliness,But me and myself we dont want to accept this reality.
So before i give up once and for all about loyal men existence.is it true all men cheat???
Too general and myopic.
 
Ketamine,are you looking for perfection!? get back to that man and he will be yours forever! Pambana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom