Ni kweli hakuna wanaume waaminifu?

Ni kweli hakuna wanaume waaminifu?

What is cheating? Flirting ! having sexual affair! Entertaining a woman or a man?

Taking someone to a date?

Both but the highest point of cheating is sexual affair and when pregnancy is involved
 
If that is the case,you will be ending up relations yearly,why?The reason for search for new relation is the way you behave as a woman,how you disagree,how envy are you to your man,how had working are you,how understand,how faithful,how honest,how kind are you.There is number of reason.So you need to learn what your partner need ,and what need not.
 
Wabarikiwe sana
Wabarikiwe zaidi wale wanaowasaidia kuishi kwenye uaminifu
Wana sehemu maalumu kwenye maisha baada ya duniani😍😍
Kusema za Ukweli, wanawake ndiyo chanzo cha wanaume kucheat. Ubinafsi wa wanawake wengine! Huwa na kusoma una mawazo mazuri. Siyo kama Hannah ambaye analipiza kisasi! Hivi unalipiza kwa kuitoa K?
 
I just want to know the reality of life,is it true all men cheat???
I have ended my long relationship because of cheating.I cant tolerate continuing with a person after i found evidence he has been cheated,as a result i end up single without relationship,and it is very hard to start new relationship for us loyal women who we dont have multiple partner at the same time.
I am longing to have a serious relationship and settle,the problem is i have developed trust issues,i dnt trust if faithfull and loyal men exist anymore.Alot of people advising,for nowdays society it is better to accept cheating and learn to start cheating too in order to go with the flow and avoiding lonliness,But me and myself we dont want to accept this reality.
So before i give up once and for all about loyal men existence.is it true all men cheat???
Ila nimeelewa
 
Wapo waaminifu lkani wengi wanacheat na wanacheat kwatamaa wanajifanya wanasayansi kuharibu jaribu mambo😀
Angalia anakupenda anajali anakuhudumia ukitaka asiecheat utakaa single milele au umpate ushakuwa mzee
Na hata wanawake wanacheat pia
 
Na ukipata anaehudumia shukuru... Yaan wapowapo tu na ndo maana wanagongewa sana
 
Kusema za Ukweli, wanawake ndiyo chanzo cha wanaume kucheat. Ubinafsi wa wanawake wengine! Huwa na kusoma una mawazo mazuri. Siyo kama Hannah ambaye analipiza kisasi! Hivi unalipiza kwa kuitoa K?

Mahusiano ni kusaidia kwenye kuelewana na kujuana
Kile unachopenda na usichopenda mwambie mwenzio, kama kiko ndani ya uwezo wake na anakupenda atakuelewa na mtadumu.
Yote kwa yote Mungu ayatangulie mahusiano yenu, kama ni waamini. Partner anayemjua Mungu na sheria zake ni partner bora mno
 
Tatizo ni wanawake kutumia K kama kumkomoa mwanaume. Imagine umeoa na unaomba K. Hii kitu huwa inafanya wanaume kuanza kufikiria njia ya kumwaga wazungu! Kwa wanawake ambao wanajua wajibu wao, cheating huwa hakuna.
 
Wapo wanaume waaminifu sana
Na ili waendelee kuwa waaminifu, sisi wanawake tunaweza kuwasaidia zaidi kudumu kwenye uaminifu

Sio rahisi sana lakini sio ngumu sana pia

Msinipopoe😁😁😁😁
Umeongea kitu kikubwa sana mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom