Ni kweli hakuna wanaume waaminifu?

Ni kweli hakuna wanaume waaminifu?

Mahusiano ni kusaidia kwenye kuelewana na kujuana
Kile unachopenda na usichopenda mwambie mwenzio, kama kiko ndani ya uwezo wake na anakupenda atakuelewa na mtadumu.
Yote kwa yote Mungu ayatangulie mahusiano yenu, kama ni waamini. Partner anayemjua Mungu na sheria zake ni partner bora mno
Wewe mwanamke una busara sana. Ana heri aliye na wewe kama mke/mpenzi. Your parent did a great work in your upbringing
 
Tatizo ni wanawake kutumia K kama kumkomoa mwanaume. Imagine umeoa na unaomba K. Hii kitu huwa inafanya wanaume kuanza kufikiria njia ya kumwaga wazungu! Kwa wanawake ambao wanajua wajibu wao, cheating huwa hakuna.
Ipo??
 
Yess
Now this is because of ccm
But now they accept other political party to make open assemblies
Hope we will win sister
 
I just want to know the reality of life,is it true all men cheat???
I have ended my long relationship because of cheating.I cant tolerate continuing with a person after i found evidence he has been cheated,as a result i end up single without relationship,and it is very hard to start new relationship for us loyal women who we dont have multiple partner at the same time.
I am longing to have a serious relationship and settle,the problem is i have developed trust issues,i dnt trust if faithfull and loyal men exist anymore.Alot of people advising,for nowdays society it is better to accept cheating and learn to start cheating too in order to go with the flow and avoiding lonliness,But me and myself we dont want to accept this reality.
So before i give up once and for all about loyal men existence.is it true all men cheat???
Let's we start afresh
 
Ngoja nitafsiri

Nataka kujua uhalisia wa maisha, je ni kweli wanaume wote wanadanganya???
Nimemaliza uhusiano wangu wa muda mrefu kwa sababu ya kudanganyana.Siwezi kuvumilia kuendelea na mtu baada ya kupata ushahidi kwamba ametapeliwa, matokeo yake naishia single bila mahusiano, na ni ngumu sana kuanzisha uhusiano mpya kwa sisi wanawake waaminifu ambao. hatuna washirika wengi kwa wakati mmoja.
Ninatamani kuwa na uhusiano wa dhati na tusuluhishe, tatizo nimekuwa na masuala ya uaminifu, siamini kama wanaume waaminifu na waaminifu wapo tena. Watu wengi wanashauri, kwa sasa jamii ni bora kukubali kucheat na kujifunza kuanza kudanganya pia ili kwenda na mtiririko na kuepuka upweke, Lakini mimi na mimi mwenyewe hatutaki kukubali ukweli huu.
So before i give up once and for all kuhusu loyal men kuwepo.is it true all men cheat???

Eh kumbe ndio kasema hivyo
Ngoj nifute nlichoandika hapo juu
 
Tatizo ni wanawake kutumia K kama kumkomoa mwanaume. Imagine umeoa na unaomba K. Hii kitu huwa inafanya wanaume kuanza kufikiria njia ya kumwaga wazungu! Kwa wanawake ambao wanajua wajibu wao, cheating huwa hakuna.

Communication mbaya ndio chanzo cha kuvurugika kwa mahusiano
Mpe wife asome hii

1 WAKORINTO 7:4-5
"Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu. "
 
I just want to know the reality of life,is it true all men cheat???
I have ended my long relationship because of cheating.I cant tolerate continuing with a person after i found evidence he has been cheated,as a result i end up single without relationship,and it is very hard to start new relationship for us loyal women who we dont have multiple partner at the same time.
I am longing to have a serious relationship and settle,the problem is i have developed trust issues,i dnt trust if faithfull and loyal men exist anymore.Alot of people advising,for nowdays society it is better to accept cheating and learn to start cheating too in order to go with the flow and avoiding lonliness,But me and myself we dont want to accept this reality.
So before i give up once and for all about loyal men existence.is it true all men cheat???
Wanaume wote si sawa dada.
Kuna wanaume waaminifu,wengi tu.

Muombe Mungu atakupa .
Muhimu kukaa kwenye maombi na usubiri mwenyewe akupe,usihangaike wewe kutafuta.
 
Tokea Eden siwatetei
wanaweza zuia hali yakutamani so maisha ndio hayoo .

Mimi ndio nimeamua kuyaoga maisha .
Na ndio nitayaoga lazima uitwe mama Fulani lasivyoo utakuwa single
 
Wapo wanaume waaminifu sana
Na ili waendelee kuwa waaminifu, sisi wanawake tunaweza kuwasaidia zaidi kudumu kwenye uaminifu

Sio rahisi sana lakini sio ngumu sana pia

Msinipopoe
Amen
 
Tupo wengi sana,sema bila Mungu hata sisi tungekuwa kama wengine, kwa kifupi nasema mpate anaemcha Mungu kweli kutoka moyoni na wewe uwe mcha Mungu pia.
 
Mahusiano ni kusaidia kwenye kuelewana na kujuana
Kile unachopenda na usichopenda mwambie mwenzio, kama kiko ndani ya uwezo wake na anakupenda atakuelewa na mtadumu.
Yote kwa yote Mungu ayatangulie mahusiano yenu, kama ni waamini. Partner anayemjua Mungu na sheria zake ni partner bora mno
Mama una busara sana, bila shaka utakuwa ni yule mwanamke wa Mithali 30. Mungu akutunze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom