Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,568
- 48,693
Nimemsikia Zitto akisema mzee Msuya alifukuzwa kazi. Ila mimi kipindi nakua huyu mzee alikuwa Waziri Mkuu nilikuwa namsikiasikia kwenye taarifa ya habari sikumbuki vizuri.
Je nae uwaziri mkuu wake uliisha kama wa Lowassa au?
Je nae uwaziri mkuu wake uliisha kama wa Lowassa au?