Baraba
Member
- Jan 2, 2015
- 62
- 27
Nimekuwa nikijuuliza maswali meng kuhusu uchanguzi mkuu wa mwaka huu. Baada ya lowasa kuhama chama cha ccm na kujiuga ukawa kupitia chadema, inaonekana mh. Lowasa anapendwa na watu weng, juzi alipochukua fomu ya uraisi alipata wadhamini 1.6m ambayo ni nusu ya kura aliyopata dr. Slaa kwenye uchanguzi wa mwaka 2010. But tujiulize ni kweli mh. Lowasa anaenda kumshinda dr. John pombe magufuli kwenye uchanguzi mkuu wa mwenzi October