Sawa nimekupata, lakini issue ya UPSIDE DOWN hujaiongerea bro
HahahaaaaKigamboni huoni Zanzibar sababu ya miinuko, milima na mabonde. Ni sawa na kuwa na ghorofa 6 na ghorofa 12 eneo moja.
Dunia kuwa FLAT 'Bense' sio kwamba imetandikwa chini kama mkeka, pia mawingu unayoyaona ndio universe ambayo ni kubwa kuliko na hapo nimesema universe ndio (Sphere, Oval na Circle) wingu liloshuka ndio ukuta wa universe.
Ninachoweza hapa unaamini sana sayansi kiasi ya kwamba unaona haina kosa.Nimechagua kigamboni na sio msata/pwani ili unielewe,milima na vichuguu baharini vinatoka wapi??
Mawingu yako ndani ya milki ya dunia kama km5 kutoka chini.huo ukuta unaouzungumzia una upana mile ngapi maana katikati yake kuna nyota za karibu na za mbali kiasi kwamba zinaonekana kama unga tu uliomwagwa.
Kitu flat kinazungukaje?1. Wao Wanasema (Sio kila wanachosema ni sahihi).
2. Jua kuzama matopeni (Ume-refer thread yeye maudhui ya kidini. Mimi siongelei dini na namuamini Mungu sio dini at first.
Majibu:-
• Dunia kuwa FLAT sio kwamba haitembei/paa/zunguka hapana inapaa/zunguka vizuri tu lakini kwa speed ya kati.
• Jua halikusimama/kaa sehemu moja na halizunguki bali lina runway/njia ya kwenda na kirudi (hupita hapo hapo) East to West/West to East pia linachanua na kufifia kama ua(flower) lakini halizimi kama taa.
• Mwezi umesimama mahala lakini angle ambayo inawezesha kuiona dunia vizuri. Mwezi huu unawaka lakini sio kwa ukali ni kama (Rubber maalumu au Bracelets ambazo gizani uwaka na kwenye mwanga huzima) ⬇
• Universe ndio inautajiri wa mwanga na rangi hivyo hubadili katika mazoea.
Nyongeza:-
• Nyota ni moja imesimama sehemu lakini miale na kunga'a kwake ndio tunaona Nyota kuwa nyingi.
Note: Ukirudi na kitu kinaitwa SCIENTIFIC LAWs jiulize leo hii nikisema wewe huna damu bali maji utakubali?!
Mzunguko kama tunavyofahamu, toka nje na ungo au sahani kisha irushe kwa kuelekea mbele kulia au mbele kushoto kwa juu kidogo zaidi ya usawa wa bahari.Kitu flat kinazungukaje?
Naona mnazidi kunielewa.
Maneno meengi swali liko pale paleMzunguko kama tunavyofahamu, toka nje na ungo au sahani kisha irushe kwa kuelekea mbele kulia au mbele kushoto kwa juu kidogo zaidi ya usawa wa bahari.
Mama usikalili bali elewa. Inazunguka kiduara, inazunguka kwanza yenyewe kisha inazunguka/kutembea kufuata sphere ya universe.Maneno meengi swali liko pale pale
Macho yanauwezo wa kuona mbali sana, ndio maana tunaweza kuona sayari kama mars & mwezi & nyota.Ninachoweza hapa unaamini sana sayansi kiasi ya kwamba unaona haina kosa.
Swala la Zanzibar ni uwezo wa macho, macho uwezo wake hauwezi kuona umbali huo wa Kigamboni to Zanzibar.
Mi ni mmoja wasioami ulimwengu ni endless ndio maana nimeandika Universe ni (Sphere, Oval na Circle) ndio inatufanya tuone hizo boundaries.
Unamaanisha Zanzibar imeanza angle tofauti na Dar (Kigamboni) ilipo?Macho yanauwezo wa kuona mbali sana, ndio maana tunaweza kuona sayari kama mars & mwezi & nyota.
Zanzibar hatuwez kuona sababu ya duara la dunia....
Zanzibar n karibu kuliko mars
Acha kupotosha umma mkuu1. Wao Wanasema (Sio kila wanachosema ni sahihi).
2. Jua kuzama matopeni (Ume-refer thread yeye maudhui ya kidini. Mimi siongelei dini na namuamini Mungu sio dini at first.
Majibu:-
• Dunia kuwa FLAT sio kwamba haitembei/paa/zunguka hapana inapaa/zunguka vizuri tu lakini kwa speed ya kati.
• Jua halikusimama/kaa sehemu moja na halizunguki bali lina runway/njia ya kwenda na kirudi (hupita hapo hapo) East to West/West to East pia linachanua na kufifia kama ua(flower) lakini halizimi kama taa.
• Mwezi umesimama mahala lakini angle ambayo inawezesha kuiona dunia vizuri. Mwezi huu unawaka lakini sio kwa ukali ni kama (Rubber maalumu au Bracelets ambazo gizani uwaka na kwenye mwanga huzima) [emoji652]
• Universe ndio inautajiri wa mwanga na rangi hivyo hubadili katika mazoea.
Nyongeza:-
• Nyota ni moja imesimama sehemu lakini miale na kunga'a kwake ndio tunaona Nyota kuwa nyingi.
Note: Ukirudi na kitu kinaitwa SCIENTIFIC LAWs jiulize leo hii nikisema wewe huna damu bali maji utakubali?!
Hata mimi naona ninyi mnapotosha ulimwengu sio umma tu.
Ni hio gravity ndio inakufanya uhisi umesimama kwenye flat surface.Sawa nimekupata, lakini issue ya UPSIDE DOWN hujaiongerea bro
Kweli kabisa!!We're all Upside downers.
Kweli kabisa!!
Kwa sababu kwani juu ni wapi?
Alafu,wanaosema kuwa iwapo dunia ingekuwa tufe, basi maji yangemwagika!
Jibu ni kwamba, kama maji yangemwagika basi tungeyaona yanapaa!![emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeuliza swali zuri ila lazima tu uoneshe upungufu wa uelewa.we ndo unaamini nadharia ya jua kuzama matopeni
Alafuu,Ndio hivyo,tungeona yanaelekea juu.
Hapa wazee wa vapour ukiwaambia hivi unawachanganya kabisaaa.
Umeuliza swali zuri ila lazima tu uoneshe upungufu wa uelewa.
Kwani we unasema Jua linazama, linazama wapi? mchoro wa solar system unaonesha jua lipo katikati, kuzama kwa kitu ni kudidimia chini. Kwaio ukisema Jua linazama maanake limedidimia chini ama tuelewe vipi?
Umejibu vizuri Sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Dunia ni duara lakini duara kubwa sana kiasi kwamba ukiwa mahali popote juu ya uso wake huwezi kuhisi unasimama upande kwani vile vile gravity ni kubwa na sawa pande zote.
Pia hakuna kitu kingine kikubwa kama dunia karibu na dunia ambacho kingekuwa reference na kutufanya tujisikie tupo kichwa chini miguu juu. Miguu yote ipo chini na vichwa vyote vipo juu kwasababu gravity inavuta upande ule ule wa miguu hata kwa wale waliopo upande wa pili wa tufe.
Ulimwengu ‘universe’ hauna mwisho!