ICT OFFICER
JF-Expert Member
- Oct 6, 2018
- 235
- 300
Yaah ni duara kubwaa sana kiasi kwamba huwezi kuhisi kama umesimama at the edge au upo mwisho wa duara...Dunia ni duara lakini duara kubwa sana kiasi kwamba ukiwa mahali popote juu ya uso wake huwezi kuhisi unasimama upande kwani vile vile gravity ni kubwa na sawa pande zote.
Ulimwengu ‘universe’ hauna mwisho!
Lakini kumbuka zipo prove za kisayansi zinazoonyesha kuwa dunia n duara, mfano1. Earth kuwa sphere, oval, round au flat sifahamu japo shule walifanya kila njia kuniaminisha ni Sphere japo kwa uwelewa wangu ni FLAT 'Bense'.
2. Kama naamini ni FLAT 'Bense' Australia wapo oke wamesimama vizuri tu.
3. Mduara hauna kikomo Ila Mnyoofu/Msitatili unakikomo nikiwa na maana Dunia inakikomo lakini Universe haina Earth=FLAT 'Bense' lakini Universe=Sphere+Oval+Circle
Kama uliwahi kuambiwa/kuskia sayari ya Pluto imetoweka kisha kuonekana na kutoweka means Universe inajibadili maumbo yake Sphere, Oval na Circle.
Dunia sio Sphere bali FLAT 'Bense' kwa maono yangu mimi. Lakini kiuhalisia shika Earth Globe zinazopatikana shuleni, hospitali na madukani angalia sphere eneo China ilipo na US au Canada ajiulize umbali huo ni sahihi kutumia masaa (Flani) kwa safari zinazowahusisha?! Kisha rudi Flat Earth ujumlishe, utoe na kuzidisha utapata jibu.
Note: Kuna haiba ya Uthubutu na Uwoga chagua itakayokupendeza na kufaa.
Sawa nimekupata, lakini issue ya UPSIDE DOWN hujaiongerea broYaah ni duara kubwaa sana kiasi kwamba huwezi kuhisi kama umesimama at the edge au upo mwisho wa duara...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata siku moja usiseme DONE, kumaliza unaweza Ila sio kwa 100%.Lakini kumbuka zipo prove za kisayansi zinazoonyesha kuwa dunia n duara, mfano
1. Sunrise & sunset
2. Ship navigation
3. Lunar Eclipse
Kama ukichukulia mawazo yako kuwa dunia n FLAT, hivi vitu vyote haviwezi kutokea bro
Duh!Hata siku moja usiseme DONE, kumaliza unaweza Ila sio kwa 100%.
Tafuta Manila paper tia kiwiko katikati iwezekuwa na asili ya sahani za karatasi (Zinazotumika katika sherehe na hafla mbalimbali) iweke juu ya meza kisha shika grope au groli katika 40 angle degrees (dimension) kwa Grope na 60 degrees kwa groli na katika manila mimina maji. Pia tengeneza mitumbwi kwa karatasi tia ndani ya maji hayo huku ukiwa umeweka maua, mawe na mchanga. Washa feni kwa umbali ukizidisha na kutoa utapata yafuatayo:-
• Meza/Beseni = Universe
• Sahani = Earth
• Grope, Groli = Sun & Moon
• Mawe/Mchanga = Continents, Mountains, Beaches etc
• Maji = Oceans and Lakes
• Feni = Moving air, Wind na inasababisha Maji kucheza.
Haya mengine endeleza.
Umeanza kufunguka sasa.Duh!
1. Earth kuwa sphere, oval, round au flat sifahamu japo shule walifanya kila njia kuniaminisha ni Sphere japo kwa uwelewa wangu ni FLAT 'Bense'.
2. Kama naamini ni FLAT 'Bense' Australia wapo oke wamesimama vizuri tu.
3. Mduara hauna kikomo Ila Mnyoofu/Msitatili unakikomo nikiwa na maana Dunia inakikomo lakini Universe haina Earth=FLAT 'Bense' lakini Universe=Sphere+Oval+Circle
Kama uliwahi kuambiwa/kuskia sayari ya Pluto imetoweka kisha kuonekana na kutoweka means Universe inajibadili maumbo yake Sphere, Oval na Circle.
Dunia sio Sphere bali FLAT 'Bense' kwa maono yangu mimi. Lakini kiuhalisia shika Earth Globe zinazopatikana shuleni, hospitali na madukani angalia sphere eneo China ilipo na US au Canada ajiulize umbali huo ni sahihi kutumia masaa (Flani) kwa safari zinazowahusisha?! Kisha rudi Flat Earth ujumlishe, utoe na kuzidisha utapata jibu.
Note: Kuna haiba ya Uthubutu na Uwoga chagua itakayokupendeza na kufaa.
Swali zuri sana broMkuu kama dunia flat mbona hapa tulipo mda huu wengine wamelala wengine asubuhi au ndo kasi ya mwanga umechelewa kufika na pia mwezi wanasema auwaki kama tunavyouona usiku wanasema ni kuakisi mwanga kutoka kwa jua hii imekaeje mkuu au na we ndo unaamini nadharia ya jua kuzama matopeni
Sent from my iPhone using JamiiForums
1. Wao Wanasema (Sio kila wanachosema ni sahihi).Mkuu kama dunia flat mbona hapa tulipo mda huu wengine wamelala wengine asubuhi au ndo kasi ya mwanga umechelewa kufika na pia mwezi wanasema auwaki kama tunavyouona usiku wanasema ni kuakisi mwanga kutoka kwa jua hii imekaeje mkuu au na we ndo unaamini nadharia ya jua kuzama matopeni
Sent from my iPhone using JamiiForums
Duh, nahisi unapotosha jamii1. Wao Wanasema (Sio kila wanachosema ni sahihi).
2. Jua kuzama matopeni (Ume-refer thread yeye maudhui ya kidini. Mimi siongelei dini na namuamini Mungu sio dini at first.
Majibu:-
• Dunia kuwa FLAT sio kwamba haitembei/paa/zunguka hapana inapaa/zunguka vizuri tu lakini kwa speed ya kati.
• Jua halikusimama/kaa sehemu moja na halizunguki bali lina runway/njia ya kwenda na kirudi (hupita hapo hapo) East to West/West to East pia linachanua na kufifia kama ua(flower) lakini halizimi kama taa.
• Mwezi umesimama mahala lakini angle ambayo inawezesha kuiona dunia vizuri. Mwezi huu unawaka lakini sio kwa ukali ni kama (Rubber maalumu au Bracelets ambazo gizani uwaka na kwenye mwanga huzima) ⬇
• Universe ndio inautajiri wa mwanga na rangi hivyo hubadili katika mazoea.
Nyongeza:-
• Nyota ni moja imesimama sehemu lakini miale na kunga'a kwake ndio tunaona Nyota kuwa nyingi.
Note: Ukirudi na kitu kinaitwa SCIENTIFIC LAWs jiulize leo hii nikisema wewe huna damu bali maji utakubali?!

1. Wao Wanasema (Sio kila wanachosema ni sahihi).
2. Jua kuzama matopeni (Ume-refer thread yeye maudhui ya kidini. Mimi siongelei dini na namuamini Mungu sio dini at first.
Majibu:-
• Dunia kuwa FLAT sio kwamba haitembei/paa/zunguka hapana inapaa/zunguka vizuri tu lakini kwa speed ya kati.
• Jua halikusimama/kaa sehemu moja na halizunguki bali lina runway/njia ya kwenda na kirudi (hupita hapo hapo) East to West/West to East pia linachanua na kufifia kama ua(flower) lakini halizimi kama taa.
• Mwezi umesimama mahala lakini angle ambayo inawezesha kuiona dunia vizuri. Mwezi huu unawaka lakini sio kwa ukali ni kama (Rubber maalumu au Bracelets ambazo gizani uwaka na kwenye mwanga huzima) [emoji652]
• Universe ndio inautajiri wa mwanga na rangi hivyo hubadili katika mazoea.
Nyongeza:-
• Nyota ni moja imesimama sehemu lakini miale na kunga'a kwake ndio tunaona Nyota kuwa nyingi.
Note: Ukirudi na kitu kinaitwa SCIENTIFIC LAWs jiulize leo hii nikisema wewe huna damu bali maji utakubali?!
Kigamboni huoni Zanzibar sababu ya miinuko, milima na mabonde. Ni sawa na kuwa na ghorofa 6 na ghorofa 12 eneo moja.Mkuu hawa wanasayansi kuna vitu wanatuingiza chaka na tunakubali kwamba hiki ni chaka tunaingizwa,mfano"evolution of man"ila hili la umbo la dunia,bado una pointi dhaifu sana za kuwapinga.
Dunia ni flat sawa.kwanini nikisimama tu hapo kigamboni naona mlima wa maji,ambao unanizuia nisiione zanzibar???
Ni kwanini nikisimama kwenye jengo refu zaidi,naaona mikunjo ya duara kwa mbaali,au ni viroba vimeingia machoni??hakuna mkunjo wowote.
Simama hapo ulipo angalia mbele mawinguni,unaona mawingu yameshuka mbele kule si ndio??embu mark eneo yanapoonekan chini kabisa,kisha nieleze unaweza fuata ukayakuta??
Sipotoshi jamii bali hao wanasayansi ndio hupotosha jamii.Duh, nahisi unapotosha jamii
Kigamboni huoni Zanzibar sababu ya miinuko, milima na mabonde. Ni sawa na kuwa na ghorofa 6 na ghorofa 12 eneo moja.
Dunia kuwa FLAT 'Bense' sio kwamba imetandikwa chini kama mkeka, pia mawingu unayoyaona ndio universe ambayo ni kubwa kuliko na hapo nimesema universe ndio (Sphere, Oval na Circle) wingu liloshuka ndio ukuta wa universe.