Ni kweli au nasikia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli au nasikia

Discussion in 'JF Doctor' started by twenty2, Nov 29, 2011.

 1. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba mnieleweshe kuna rafiki yangu ameniadisia kuwa yeye anaposex huwa hatoi yale majimaji ambayo mwanamke anatakiwa kutoka wakati wa kufanya mapenzi kwahiyo yeye mpz wake huwa antumia mate kwa sana kumpaka ndio alainike na ndio waendelee kusex yaaan yupo mkavu sana,ni mara chache sana huwa inamtokea, je hilo ni tatizo la kiafya au ni tatizo la nn? nisaidieni kujibu ilinimuelekeze na yeye.
   
 2. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  huyo rafiki yako anapata maandalizi ya kutosha kabla ya mechi??
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  vip muulize fore play yao huwa inakua ya muda gani????????????
   
 4. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  mara nyingi hili huwatokea wanawake walio olewa, hasa anapokuwa na mazoa sana na mwenzi wake, cha ajabu ni kuwa anapotoka na mtu mwingine hali inakuwa tofauti kabisa.
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mwambie huyo Rafiki yako amwambie bwana wake kabla ya Tendo la mapenzi awe anamchezea chea mwilini sehemu muhimu za kike kwa mfano huyo bwana awe anamnyonya maziwa yake

  huyo Mwanamke huyo bwana awe anamchezea sehemu ya uke wake haswa kwenye ( Clitoris) huyo bwana awe anamnyonya mdomo wake huyo mwanamke wake mpaka kutakapo kuwa laini huko chini ndio waanze hiyo mechi yao ya mpira hiyo itasaidia kwa mwanamke kutoka maji sehemu yake ya siri.
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Hapohakuna ugonjwa wowote ule ishu hapo ni maandalizi yapi huwa wanayafanya kabla ya kupiga mechi na yeye huwa anakuwa kwenye hali gani (mud) kabla ya tendo.

  Hiii ndiyo tabu ya kizazi cha leo hakuna vijana hawafundwi kbs na kufunzwa mambo muhim kama hayo.
  Unajua cyo mila zote ni mbaya zingine ni nzuri na madhara ya kuzikataza baadhi ya mila ndiyo matokeo yake haya sasa kila kukicha ndoa zinavunjika kwa vijana kukosa kufunzwa.
  Wew unafikiri huyo dada akikutana na mtaalam ampige shughuli ya ukweli unafikiri atataman kufanya mapenz kwel na mumewe??
   
 7. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  :A S 465:Mwambie asiogope kabisa, siku zote mapenzi sio kuchomeka tu bali maandalizi yakuchomeka ni lazima, KUNA SABABU NYINGI AMBAZO MWANAMKE HATOI MAJI, KWANZA KABISA KAMA HAYUPO KTK MUD HATATOA, PILI WAKATI ANAFANYA MAWAZO YAWEPO HAPO ASIWAWAZIE WATOTO AU MAMBO MENGINE, TATU WATOMASANE KWA KIPINDI KIDOGO NA YEYE MWENYEWE AANGALIE KAMA UTE UMETOKA. AKIONA HAYA YOOTE HAYATOKEI BASI AKAMWONE DOCTOR.:poa
   
 8. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio anapata maandalizi ya kutosha.
   
 9. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa ushauri wako anapofanya hawazi chochote,lakini kama ulivyosema inambidi hamuone doctor.
   
 10. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa kaka nmekuelewa nitafikisha ujumbe.
   
 11. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa nitamuuliza
   
 12. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa nitamwambia..........mkubwa........
   
 13. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hhuyu rafiki yangu hajaolewa na anapokuwa na mahusiano ya kimapenzi hakai mda mrefu kwasababu hiyo,so inmkuta kila leo anabadilisha wanaume wengi.
   
 14. E

  Ernest Da Vinci Senior Member

  #14
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh! Maskin wee,hyo dada kwl anakosa raha,anyway mwambie wkt wa mchakato awe anarelax mwili na fikra zake vwe hapo pia awajibike vya kutosha coz wengine wanapokata maunu ndo huzalisha hzo vagina flush pia mwambie apendelee kula mboga za majani hasa kabeji ataona kidimbwi kinavyokuja
   
Loading...