Ni kweli; au mambo ya kufikirika tu..

Kwangu naona n kinyume,
yaan kwa ss baada ya kuoa ,ning'aa zaid hlf nazimiwa na maduu kuliko mwanzo,
inategemea ila kuna ukweli mkubwa
 
Ndoa ni takatifu bwana alisema hivyo ukiona yametokea hayo jua shetani yu ndani ya ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…