.....Ni kweli au foto shop alaaaniwe yeye na vizazi vyake !!!

Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
24,199
22,645
.....Ni kweli au foto shop alaaaniwe yeye na vizazi vyake vyote... unga fuga nyoka !!!

Nimesikita sana ......

We need to rethink..

msonge ,wajuu na Shusha mikono ...tuko pamoja masaa tu.......

23456296863800-271256211-660x413.jpg

drug_names.jpg
 
.....Ni kweli au foto shop alaaaniwe yeye na vizazi vyake vyote... unga fuga nyoka !!!

Nimesikita sana ......

msonge ,wajuu na Shusha mikono ...tuko pamoja masaa tu.......
Inaweza kuwa photoshop lakini inayo-reflect uhalisia au yenye nia njema ya kuwajengea watu hofu kuhusu michezo hatari wanayocheza. Hayo mambo nilipata kuyaheshimu kupitia mwanangu mmoja hivi.... nilikuwa nimepoteana nae kwa miaka michache sana, siku nakuja kumuona kwa mara nyingine alikuwa rehab... sikutaka kuamini lakini ndo alikuwa yeye! Hata kama sifahamu kilimuua nini lakini hapa ninapoandika, ameshasahaulika manake tangu tuzike kitambo kidogo! Sasa nikichukua hiyo time frame ya 2001-2008 ni very possible kuwa na hiyo transformation... mfano wa karibuni unaofahamika na wengi wetu ni from Chid Benz to Chid Vitz... haya mambo tufanye kusikia tu!
 
....

...

....Mkuu kwanza nisamehe hapo juu kwenye bandiko kwa lugha kali...na jamaa yangu tulisoma naye Shinyanga sec (Shybush) leo(jana) ...nilipo mwona imeniuma sana ...hii kitu natamani Nirudi Marine ...tized tunamipaka???????
 
Back
Top Bottom