Ni kweli alikuwa na ubaya, lakini na uzuri alikuwa nao

Alikuwa na mazuri mwengi kuliko mabaya ....

Kama utakuwa na akili alikuwa anatumia uongozi wa kuongoza familia ,cha kwanza hakutaka watu wawe na wasiwasi kabisa .

Hata kama alikopa hakutaka watu wawe wanyonge kwa kujiona ombaomba alificha.

Ni hivi hata wewe ukiwa mkuu wa familia ukienda kukop kwa mgosi huwezi kuwaambia wanao ila kikubwa unahakikisha wamekula ,huwezi kuacha watu wanasambaza taarifa zinaleta mtafaruku na hofu kwa watu ukae kimya tu ...Hata mimi ningewamaliza kabisa kama uchaguzi ulishaisha.
Muuaji,mtekaji,dhulmati

Njo na povu lako sasa
 
JPM OYEEE...
Mama anapelekwa pelekwa tu. Yuko kama kanyabwoya pale. Yote yanafanywa wezi na mafisadi.
Yeye wanampa masafari tu waibe na waitafune nchi...
HOVYO KABISA
 
Nikitazama hili andiko lako, ndio ninajua ni kwa kiwango gani elimu yetu ilivyo hoi. Kwa bahati mbaya sio ww pekee unaandika kwa kiwango duni hivi, Kuna wengi sana wanaandika hovyo hivi. Kuandika kiswahili kwa ufasaha kwa sasa limekuwa janga kwa nchi hii.
Sikua andika hili nipate tuzo ya uandishi wewe kama. Ujaelewa nilicho andika potezea tu sio lazima usome au. Ujibu
 
Sikua andika hili nipate tuzo ya uandishi wewe kama. Ujaelewa nilicho andika potezea tu sio lazima usome au. Ujibu
Mkuu hapa nimejaribu kuikoa elimu yetu kuliko ww zaidi. Kimsingi ww tayari umeshapoteza, hata hii quote yako inadhibitisha tayari ww ni mlemavu wa kuandika. Najaribu kusaidia wengine kwenye elimu yetu, ww ukiwa mfano halisi.
 
Alikuwa na mazuri mwengi kuliko mabaya ....

Kama utakuwa na akili alikuwa anatumia uongozi wa kuongoza familia ,cha kwanza hakutaka watu wawe na wasiwasi kabisa .

Hata kama alikopa hakutaka watu wawe wanyonge kwa kujiona ombaomba alificha.

Ni hivi hata wewe ukiwa mkuu wa familia ukienda kukop kwa mgosi huwezi kuwaambia wanao ila kikubwa unahakikisha wamekula ,huwezi kuacha watu wanasambaza taarifa zinaleta mtafaruku na hofu kwa watu ukae kimya tu ...Hata mimi ningewamaliza kabisa kama uchaguzi ulishaisha.
Mkuu hutawaambia watoto kuwa umekopa kwa sababu sio wao watakaolipa mkopo huo! Kama wanawajibika kulipa huo mkopo lazima uwaambie!
 
Binadamu hakosi mapungufu mkuu. Kupitia mazuri ya mtu tunashukuru, lakini kupitia mabaya ya mtu tunapata kujifunza jambo.

Kwa sasa tunapitia kipindi kigumu sana, nimependa msemo wako (YATIMA). Tumeachwa na baba angali hatujiwezi, mama nae kapata bwana mwingine hata hajali familia.
🤣🤣🤣🆒
 
Kwanza nianze kumuombea dua Mungu amlipe kutokana na matendo yake mimi binafsi sikatai alikua na ubaya lakini na uzuri alikua nao miongoni mwa mabaya katika utawala wake.

Kwanza alikua mtemi kwa wana siasa na matajiri, pia matajiri wengi kwenye utawala wake walikua wanapewa sana Kessy za uhujumu uchumi, wana siasa wengi walikua wanapewa kessy za uchochezi, kiujumla halikua apendi kukosolewa, kwenye utawala wake likazuka kundi la watu wasio julikana haya mambo nilio ya taja yaliofanyika kwenye utawala wake hata mimi hilipelekea ni mchukie.

Hayo yalikua ni sehemu ya mabaya yake, na ikasababisha hata mazuri yake machache haliokua nayo nisi yaone, moja ya mazuri yake halikua akisema mradi huu mpaka mda fulani hue umekamilika na inakua kweli inakua hivyo, lingine halikua na ma amuzi yakutaka sifa lakini yalikua na faida kwa mtu wa hali ya chini mfano anaweza ku uliza nimtumbue nisi mtumbue watu wakisema mtumbue basi kweli anamtumbua kama hilivyokua kwa marehemu wilsoni kabwe.

Haya ma amuzi pamoja yalikua ya sifa lakini yalipelekea viongozi wengi wa ngazi ya chini kutojiona miungu watu kama hilivyo sasa, kila kiongozi anafanya vile anavyotaka yeye utafikiri nchi haina mkubwa, sasa hivi anaweza akatokea tajiri anamuambia waziri wa maji mimi nina mradi wangu wa uchimbaji visima, lakini wateja hakuna kwasababu maji mabombani yanatoka.

Kwahio mh waziri mm nitakupa hela kidogo hili huwa agize watu wa chini yako, wakate maji hata mwezi hili watu waone umuhimu wakuchimba visima, waziri anamkubaria, tajiri anaweza kumuambia waziri wa nishati mh waziri nina mradi wangu wa majenereta, lakini watu hawa nunui nina sheli lakini mafuta siuzi wateja hakuna nina solar lakini wateja sipati, na haya kwasababu umeme haukatiki, kwahio nitakupa mzigo kidogo hili.

Huwa ambie watu wa chini yako, watengeneze mgao wa kimagumashi, hili watu wajue umuhimu wakua na majenereta pamoja na solar, mambo haya utawala wa marehemu yalikua hayapo, lakini utawala wa sasa haya ndio yanayofanyika, hayo ni sehemu ya mazuri ya yule mjomba, utawala wake miradi mingi halianzisha na yote hili kamilika kwa wakati, tofauti na hilivyo sasa zuri lake jingine huyu marehemu kila likitokea jambo linalo husu taifa.

Lazima atalitolea ufafanuzi haijalishi utaridhika na ufafanuzi wake au vp halikua na ma amuzi ya haraka lakini mengi yalikua na faida kwa watu wa hali ya chini, na maumivu kwa matajiri na wana siasa, nina uhakika usiokua na shaka kama mpaka leo angekua hai, basi nina uhakika kwa tabu tunayo ipata kuhusu maji.

Basi jumaa awesu leo hii asingekua ofisini wa na kuhusu umeme tabu tunayo ipata kuhusu umeme nina uhakika waziri nishati asingekuwepo ofisini mpaka leo hayo ni baadhi ya machache mazuri katika utawala wake yeye kiongozi akikosea hilikua asemi na hili mkalitazame yy alikua anachukua hatua hapo hapo, tofauti na sasa raia wa hali ya chini.

Tumekua kama yatima, hatuna anaetusemea kwahio mazuri halikua nayo mabaya pia halikua nayo baya ambalo halito sahaulika ni kutuwekea watu wa wasio jitambua bungeni halmashauri na kwenye mabaraza ya kata, kuturejeshea mfumo wa chama kimoja, kwahio pamoja na ubaya aliokua nao na uzuri pia halikua nao.

Huo ndio ukweli kwa haya nilio andika najua kuna watu, wanaompenda, sana, watakubariana na mimi kwenye mazuri hila kwenye ubaya watanipinga, na kwa wale wanaomchukia sana watakubariana na mimi kwenye ubaya kwenye mazuri watanipinga, na wale wenye kukubaliana na ukweli watanikubalia kwa yote niliosema, na wale wenye kukataa ukweli watanipinga kwa yote niliosema.

Ahsanteni sana kama kuna sehemu nimekosea basi nisameheni mimi bina adamu kukosea ni sehemu ya ukamilifu wa ubinadamu.
Ujinga.Ule mzigo ulikuwa mzigo Kwa Taifa.

View: https://twitter.com/twendenamama/status/1736019435545084181?t=7O02GRbNJFkArdyoAgyopA&s=19
 
Mkuu hutawaambia watoto kuwa umekopa kwa sababu sio wao walipata mkopo! Kama wanawajibika kulipa huo mkopo lazima uwaambie!
Wewe huwajibiki ila ni serikali ndio inawajibika ....Kwa namna yeyote ile wewe toa kodi tu kama kawaida maana sio kila kodi inaenda kweny mkopo.
 
Mapema asubuh unamsema mtu aliezikwa inaonekana stori za kijiweni zimekunasa sana alaf huna matumaini ya maisha yako.... Mazuri na mabaya alizikwa nayo kuendelea kumsema sema ni ujinga na kukosa fikra chanya za kimaisha
 
Ni ukweli usiopingika, kuna machache umeyasshau, aliweza kutatua matatizo ya ardhi pia kwa waislam kule Sumbawanga ambayo tangu enzi za Nyerere yalishindikana.
 
Wewe huwajibiki ila ni serikali ndio inawajibika ....Kwa namna yeyote ile wewe toa kodi tu kama kawaida maana sio kila kodi inaenda kweny mkopo.
Mkuu usidanganye watu pato kuu la serikali ni kodi na misaada. Haya tuambie mikopo inalipwa na nini?
 
Hilo la kusema alikuwa anakopa silikubali! Alikuwa hapendwi na mabeberu! Watamkopeshaje? Upanuzi wa njia ya kimara hadi kibaha alienda kukopa wakamkatalia na kumwekea masharti makali ya barabara 4 yaani 2/2. Akasema atajenga kwa hela yake na akajeng kweli njia 12. 6(3/3) + 2 mwendokasi + 4 service road. Miradi ya Bwawa la Nyerere na SGR mabeberu yasingemkopesha kwasababu waliipinga! Sasa hela aliitoa wapi? Jamaa alikuwa mwamba kwelikweli!
Sasa kwa nini deni la taifa katika awamu yake moja tu likakua mara mbilia ya alivyolikuta?Mtoa hoja kaongea fact kabisa.Hajaegemea upande wote.Wenye mapenzi na chuki zenu ndo mnauharibu Uzi.Yaani ajenge miradi yote kwa pesa za ndani halafu deni la taifa like haraka haraka kiasi kile na wewe unakubaliana na hilo!
 
Sasa kwa nini deni la taifa katika awamu yake moja tu likakua mara mbilia ya alivyolikuta?Mtoa hoja kaongea fact kabisa.Hajaegemea upande wote.Wenye mapenzi na chuki zenu ndo mnauharibu Uzi.Yaani ajenge miradi yote kwa pesa za ndani halafu deni la taifa like haraka haraka kiasi kile na wewe unakubaliana na hilo!
👍👏🙏
 
Ukiwaona jf wakilalamika,uje ukazie.
na nimefanya makusudi ili wanifate.....yule mzee nilikuwa namchukia sana, nahuwa namshangaa sana mama yangu anavyomsifia magufuri mbele yangu na anasahau kuwa changamoto za maisha ninazozipitia leo na ukosefu wa ajira kwa kiasi kikubwa zilisababishwa na magufuri, nataka nije nimpige marufuku kabisa
 
Back
Top Bottom