Nimekuwa nikipata malalamiko toka kwa Baadhi ya Member kwamba Avatar yangu inawakera kwa maana haiwafurahishi sana. Natoa nafasi kwa wana JF wenye Mapenzi mema na Mimi mnishauri kama yafaa kubadilisha avatar ama la na ikiwezekana Mnitafutie Avatar.
Haitishi bwana! Ila inastaajabisha tu maana hiyo 'myoto' inatoka kwenye macho hayo mtoto mzuri inamfanya mtu abaki ameduwaa kidogo na kutafakari hali hiyo. Kwangu, haina ubaya.