Marco. Shule ya Sekondari pale Bunda Mjini, inayoitwa Dr Nchimbi ni shule ya Serikali. Ila haijawa High school. Ndio wananchi wanashangazwa na maamuzi ya serikali kupeleka wanafunzi wa kidato cha tano hapo.
Kama hujui kitu ni bora ukakaa kimya wanaojua wachangie. Kwa kuangalia jina la mtoa mada anaonekana ni mkazi wa Bunda, tena inawezekana akawa kwenye sekta hiyo ya elimu, amekuambia hapo Dr. Nchimbi hakuna Form V & VI na wakati huo huo pamepangiwa wanafunzi wa form V. Hili nalithibitisha kwa kuwa nimeshiriki kuwaandikia TAMISEMI kuwataarifu changamoto hii na haikutokea Dr. Nchimbi tu bali ni shule zipatazo 5 wilayani Bunda, bofya hapa uone kinachoongelewa. Acheni siasa kwenye mambo ya kitaalamu!tatizo wabongo tumezidi kulalaika. wewe nani kakwambia haijawa high school? serikal haikurupuki fikiria kwa kutumia kichwa sio kalio
wewe unazijua sifa za shule kuwa high school??
Mkuu cjakuelewa wanafunzi wafika wamekuta hakuna waalimu au?Hebu tujadiliane kidogo, kwani kuna allocations ambayo imefanyika kwa kupeleka wanafunzi sehemu ambayo ilikuwa haijaandaliwa kwa ajili ya kupokea wanafunzi wa kidato cha tano. Wanafunzi hao wamepangwa katika shule ya sekondari ya Dr Nchimbi.
Mpaka sasa wizara haijatoa tamko la hao wanafunzi kuwa wanatakiwa kwenda shule zipi wakati kufikia jumatatu shule zinafunguliwa.
Je hawa wanafunzi watakwenda wapi?
Huwa tayari ilishakuwa kwenye mpango, kwahiyo unakuta hiyo ni kuongeza nguvu ya ushawishi. Shaka ondoa, wanajua wanachofanya.Marco. Shule ya Sekondari pale Bunda Mjini, inayoitwa Dr Nchimbi ni shule ya Serikali. Ila haijawa High school. Ndio wananchi wanashangazwa na maamuzi ya serikali kupeleka wanafunzi wa kidato cha tano hapo.