Hongera kwa kujua hasa wanawake wanataka NN zaidi mioyoni mwao,wanawake hawapendi utulivu jamani,hata kama kila kitu kiko sawia atataka kuhoji jambo litakaloweza kuleta tafrani au mgogoro.Bila hata utafiti wa kina,mwanamke ni kiumbe anayependa mashindano,kuchangamka na mwisho anapendelea ashinde na kuchangamshwa zaidi.
Muulizeni kaka Kilichomkuta Hawa viumbe hawaeleweki wanataka chamsingi Upate watoto Tu usiwaze sanaHili linawezekana kuonekana suala la ajabu ila ndyo uhalisia.Mwanaume mwenye mwanamke au wanawake pembeni hupendwa Sana.
Natolea Baadhi ya mifano
1 Ukiwa huna mpenzi kama mwanaume alafu ukamtaka mwanamke.Akikubali kuwa na mahusiano na wewe lakini akagundua huna mzunguko mwingi wa wanawake basi upendo unapungua.
2 Ndoa za wanaocheat zinadumu kuliko wanaume ambao hawacheat.Utakuta mwanamke anasema hapendi michepuko lakini mume wake akipoa Sana BIla kuwa na kashikashi za michepuko utakuta ghafla kapigwa chini.
3 Wanawake wengi ambao hawajaolewa kwanini wanapenda wanaume ambao wapo kwenye ndoa zao??Wakati Kuna mwanaume mwaminifu hana ndoa na anakataliwa Kila siku.
4 Ukiwa unachat na mwanamke usiku akakuuliza unachat na nani zaidi yangu??
Ukimjibu nachat na mwanamke Fulani pia Kuna uwezekano mkubwa wa maongezi kudumu.
Ukimjibu nachat na wewe tu basi hamasa yake inashuka na ndani ya muda mfupi maongezi hata kama yalikuwa mazuri vipi basi yataisha.
KAMA UNABISHA JARIBU.
Hahaha kumbe!!Hili linawezekana kuonekana suala la ajabu ila ndyo uhalisia.Mwanaume mwenye mwanamke au wanawake pembeni hupendwa Sana.
Natolea Baadhi ya mifano
1 Ukiwa huna mpenzi kama mwanaume alafu ukamtaka mwanamke.Akikubali kuwa na mahusiano na wewe lakini akagundua huna mzunguko mwingi wa wanawake basi upendo unapungua.
2 Ndoa za wanaocheat zinadumu kuliko wanaume ambao hawacheat.Utakuta mwanamke anasema hapendi michepuko lakini mume wake akipoa Sana BIla kuwa na kashikashi za michepuko utakuta ghafla kapigwa chini.
3 Wanawake wengi ambao hawajaolewa kwanini wanapenda wanaume ambao wapo kwenye ndoa zao??Wakati Kuna mwanaume mwaminifu hana ndoa na anakataliwa Kila siku.
4 Ukiwa unachat na mwanamke usiku akakuuliza unachat na nani zaidi yangu??
Ukimjibu nachat na mwanamke Fulani pia Kuna uwezekano mkubwa wa maongezi kudumu.
Ukimjibu nachat na wewe tu basi hamasa yake inashuka na ndani ya muda mfupi maongezi hata kama yalikuwa mazuri vipi basi yataisha.
KAMA UNABISHA JARIBU.
Hao ndio wale Wanawake ambao mwisho wao huwa ni majuto tu huwa hawaelewi wanataka Nini mwisho kila mtoto na baba yake
Ukiona hupendi kushea jua umeshaumaliza mwendo, wewe si kijana tena😂Mi sipendi kushea nikigundua nakuacha hili sitanii kabisaa!!!
Au sio?? 😹😹😹Ukiona hupendi kushea jua umeshaumaliza mwendo, wewe si kijana tena😂
"Viko vya kushea Lati sio mapenzi😅" umenikumbusha nyimbo ya MB Dogg na Madee Latifa.Au sio?? 😹😹😹
Cazee hiyo haina ujana wala ubibi mimi kushea BIG NO. Bora kila mmoja apite hivi..!!
ChaiWanawake Wanapenda kujaribujaribu waone wenzao wanafaidi nini.
Pia ukiwa malaya unakuwa na harufu fulani hivi inayowanasa wanawake wasikukatae.
Kiroho unakuwa na Roho ya uzinzi na roho zinawasiliana hivyo uvutana