Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 40,959
- 119,404
Umeyataka mwenyewe. Pambana nao sasa. Na usikimbie huu uzi.Mnakuja kwa kasi kweli kweli
Umeyataka mwenyewe. Pambana nao sasa. Na usikimbie huu uzi.Mnakuja kwa kasi kweli kweli
Nguo zao zote nizile zenye marinda, Mala nyingi ni suruali za fundi cherehani wa kibongoSababu moja ni kwakuwa kipato chao ni kidogo cha mshahara...
Pia hawajipendi, mavazi yao yapoyapo...
Ila wanamchango mkubwa sana ktk kuendeleza elimu za watoto wetu...



hawanunui suruali Dukani, wananunua kitambaa wanapeleka tailoringWewe una Skills za ualimu ?Ukienda Dukani daftari la madeni ni walimu, halafu wana madeni kila benki hawana skills tofauti na ajira ya ualimu
Wanazurumiwa sana vitambaa hawa jamaaNguo zao zote nizile zenye marinda, Mala nyingi ni suruali za fundi cherehani wa kibongohawanunui suruali Dukani, wananunua kitambaa wanapeleka tailoring
Sijuhi kwa nani walimu hawajijali kwakweli, mtu ana kazi, mshahara n.k ila anavyokaa kaa sasa ndo maana wanadharauliwaSababu moja ni kwakuwa kipato chao ni kidogo cha mshahara...
Pia hawajipendi, mavazi yao yapoyapo...
Ila wanamchango mkubwa sana ktk kuendeleza elimu za watoto wetu...
Utakuwa unachuki sana na walimu siyo kwa kuwaponda hivi watu waliokufunza kusoma,kuandika na kuhesabukuzaraulika ndiyo nini? etio nawe uko JF unaandika! Rubbish
Kwa sasa walimu wameanzisha mradi mpya wa kukawiti na kubaka watoto plus kuwalambisha koni





Hawa watu ni special groupShida wanaenda waliofeli, ni moja ya watu wengi mitaani, ukitangaza tu ajira wanafika laki mbili dakika sifuriSijuhi kwa nani walimu hawajijali kwakweli, mtu ana kazi, mshahara n.k ila anavyokaa kaa sasa ndo maana wanadharauliwa




Sio sababu ukweli usemwe ili wajitathminUtakuwa unachuki sana na walimu siyo kwa kuwaponda hivi watu waliokufunza kusoma,kuandika na kuhesabu
Mawakili wanakasoro gn, wanapiga suti mwanzo mwishoKila kada ina madhaifu yake, tuheshimu walimu ndio wanawatoa ujinga watoto wetu


time ain't a bit*hKuna mwalimu kaja kukulalamikia ananyanyapaliwa?Badilikeni ili jamii isiwanyanyapae
Wanajipenda kuliko walimu, msimamishe mtendaji kata na mwalimu tuone yupi jamii inamchukulia mtu aliyepoteza tumaini la maishaThough mi sio mwl ila mwandishi una chuki binafsi kama sio mtindio wa ubongo kwa taarifa yako wafanyakazi walio chini ya halmashauri mishhara yao inafanana nashangaa una point walimu pekee ...
Nimechekatime ain't a bit*h



Chunguza mkuu utakuja kunipa kongore