Ni kwanini tunatumia fake avatar na majina?

mi hapo hamna ufake hilo jina langu sema kimatamshi c-money=simon hilo jogoo lilikua na mama analipenda sana so siku linachinjwa nkachukua kumbukumbu kulikumbuka mwaka wa 6 huu lipo avatar
Asee
 
AVATAR: means an icon or figure REPRESENTING a particular person in video games, INTERNET FORUM, etc.

Avata sio picha ya mtu, ni representation. Nini haukielewi mkuu tukusaidie??

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Nimeamua kujibatiza jina jingine.

hata bibi alikuwa binti.
 
Samahanini sana wana wa JamiiForums,

Hivi ni kwanini tulio wengi tunatumia fake avatars(profile picture) au fake name au vvyote kwa pamoja? Nikianza mimi, natumia fake avatar na jina kwa sababu nataka niwe huru huku JamiiForums katika kuchangia mada yoyote ile.

Miaka ya nyuma kidogo wakati wa web 1.0 tovuti za jamii (forums) nyingi zilikuwa kwaajili ya kukutanisha watu wa taaluma moja ili waweze kujadiliana kitaalam. Mfano wanasayansi, wahandisi, wanajiolojia, madakari n.k. Hii baadae iliendelea mpaka kwa watu wenye hobbies mbalimbali, mfano soka, kuogelea, magari n.k.

Miaka ile 'nondo' ndo zilikuwa muhimu kuliko kujua identity ya mtu. Software kama Vbulletin zilitengenezwa kwaajili ya kuendesha tovuti. Jamii forums (wakati ule Jamboforums) ilikuwa inatumia software hiyo.

Web 2.0 ilipoanza kujitokeza (miaka ya 2004) tovuti kama Facebook, Hi5, Myspace zilikuja kubadilisha utumiaji wa internet, kuwa 'personal' zaidi. Nondo hazikuwa za maana sana ukilinganisha na kutoa salamu kwa familia/marafiki.

Sasa ndugu yangu, kwakuwa JF ilianzishwa kipindi kile, cha minaajili ya 'nondo', ndiyo maana kuna mambo ya avatar na fake name.
 
Old school kaongea...[HASHTAG]#ISALUTE[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom