Ni kwanini baadhi ya watu hawataki watoto?

Nakubaliana na analysis yako kwa kiasi kikubwa, ila essence ya watoto huwa ni ipi katika mahusiano?

Sehemu kubwa watoto hutumiwa kuimarisha commitment, ndo maana kuna wanaobeba mimba na kuzaa watoto kama njia ya kumkamata mwanaume kwamba ana jukumu kwake.
 
We Wickama were you reading my mind. Nilikuwa nina mpango wa kupost thread titled "sababu kumi Kwanini sitaki watoto"

I'll just post here then

Just telepathic transfer hny, I believe no harm has occured. Hahahah......
 
Last edited by a moderator:
Valentina, alikuita kwa sauti nikawa na hisia kuwa umebobea kwenye mada hii, no offence. Labda sikuchagua maneno bora zaidi.

Walaaa maybe alitaka tu nisome niongeze maarifa, noo haujanioffend ila sikukuelewa tu.
 
Last edited by a moderator:
Sababu Kumi Kwanini Sitaki Watoto

10)Hivi kwani lazima uniulize Kwanini? Mbona watu wakiongelea mipango ya watoto hawaulizwi Kwanini...

9)KIFO
Hivi wazazi tukasafiri tukafa huko watoto wangu itakuwaje? Yani ndugu wachukue watoto wangu wawalee wanavyojua wao? Wawapeleke kwenye ibada zao? Wafunge akili za wanangu? Wawafundishe ujinga? Aisee hapana...

8)Naogopa nitakuwa dissapointed. Nitakuwa na expectations mwanangu aweje lakini atakuwa tofauti... . Eg. Sitegemei mwanangu atumie uhuru wake kupractice bestiality. Imagine namwona mwanangu kwenye TV anaandamana apate haki ya hiyo kitu. Uwiii... Ndo tunaelekea huko jamani

7)Naogopa dunia si sehemu salama/atateseka/ataumia. Vipi akapata accident akaparalyse mwili mzima? Vipi akapatwa gonjwa la ajabu nikamzika? Vipi akauawa na wenye wivu? Vipi akafia kwenye earth quake? Au vita ya tatu ya dunia?

6)Naogopa hatokuwa na furaha. Naogopa nitakuwa confident kuwa nampa kila kitu, kama wazazi wengi wanavyodhani, lakini kumbe Kuna vitu nakosea. Naogopa nitamuathiri kisaikolojia bila kujua...

5)jamii ina mategemeo mengi mno. Naogopa anaweza akawa mtu wa ajabu. Naogopa atatengwa au kuchukiwa na watu. Naogopa watu watamuathiri na kumtesa mwanangu...

4)Mimi ni MVIVU mno. Sitaki majukumu. Hivi housegirl akinikimbia nitaishije? Sipendi kazi za nyumbani. Naweza nisile nikakaa nascroll tu. Si wanangu watapata kitapia mlo?

3)Mimi ni mama tayari. Wazazi wengi ni wazazi Jina tu. Watoto wao wanakua peke yao. Hawawajui watoto wao. Najali wote wanaoniambiaga shida zao wanazoshindwa kuwaambia wazazi wao..Saa nyingine nahisi nawawazaga Hawa watoto kuliko wazazi wao.

2)Watoto wengi wanahitaji mama. Mayatima kibao. Utabeba watoto wazuri kibao hadi utachoka. Wote wanahitaji kutunzwa na attention. Umama tosha.

1)Kusema ukweli sababu kubwa ni kuwa Sina uwezo. Mwanangu asikie shida kwenye radio tu. Nataka kuzaa kumpa kiumbe experience ya maisha. AiEnjoy. That's what life is all about. Sio kuzaa ili tuone na wewe una mbegu. Me ilikuwaga nizaliwe kwenye familia ya kifalme sijui ikawaje. Lakini kosa hilo lisijirudie kwa mwanangu

***) lakini bwana, huyu mwanaume akisema tu, mayai yangu hayatosubiri siku za hatari. Yatatoka Saa hiyo hiyo tayari kupandikizwa. Nahitaji tu mtu atakayenihakikishia maisha. Mengi nayoyaona sio maisha ni chemical reactions tu.
 
Good morning housegirl.
 
Last edited by a moderator:
kweli kabisa ulichosema. Kwa mfano mimi napenda sana watoto ila sipendi niwe na mtoto halafu ateseke

hata mimi napenda watoto na pia naamini pia hawatateseka; Karibu Pm luv
 
Unayatafuta maumivu wewe, umesahau alichokufanyia mpenzi wako chuoni? Tulia

hata wewe kwa uliyopitia nadhani wote tunahitajiana ili kukifanya kile kilichotokea katika maisha yetu kuwa ndoto... Maumivu huponywa na mtu mwenye sifa stahiki mfano wako... Karibu pm kuanzia leo
 
Hahahahahah acha kunichekesha plz, jioni njema
 
sasa nakuchekesha kwa Vipi tena... Moyo Huponywa na Yule mwenye umuhimu bila Kujali ni Wapi umetoka au ni yapi umepitia.. Unapoamua kuzaliwa upya katika mahusiano ni kukubali na kuamini ya kwamba furaha ikupayo amani ya Moyo ndio hushikiliwa kwa mikono yote.. Karibu pm
 
Binadamu wa leo anaishi kwa mashaka makubwa na maisha yake yamejaa hofu kubwa. Hili ndilo tatizo kubwa baada tu ya lile la kutokuwa na elimu ya kiroho.
Hana uhakika akisafiri atafika salama maana kila siku taarifa za habari zinaripoti ajali kusababisha vifo au vilema vya maisha.
Hana uhakika kama akishirikiana tendo la ndoa atakuwa salama na kuepuka magonjwa yanayodhoofisha mwili na kuua kama Ukimwi. Hana uhakika.
Hana uhakika kama vyakula anavyokula au maji anayokunywa atakuwa salama.
Dunia imejaa hofu na wasiwasi. Lakini tatizo kubwa sana linaloweza kusababisha mtu asipende kuwa na watoto ni HOFU NA WASIWASI KUEA ATAWEZA KUWALEA NA KUWATIMIZIA MAHITAJI YAO KWA UHAKIKA BILA KUBAHATISHA. Hapa tunafika kwenye Financial and Investment Security and stability. Hofu tele.
Lakini, kuzaa na kulea ni jukumu la msingi kabisa katika maisha ya mwanadamu. Kama wazazi wetu wangewaza kutozaa nani angeandika hapa leo? Sometimes ni ubinafsi na kutojiamini - kama ni kutotaka watoto kwa kukusudia.
Aliyetayari kubeba mimba na akamlea mtoto kwa upendo aniPM.
 
Back
Top Bottom