Ni kwangu tu au?

Ni kwangu tu au?

franco15

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
518
Reaction score
208
Notification panel yangu inakataa kujiupdate since 17th may nini tatizo kwa mwenye ujuzi
 
Same here aisee.......nikadhani kwa sababu natumia orange........ Invisible mkuu......duu ze nidful..........
 
Last edited by a moderator:
Notification panel yangu inakataa kujiupdate since 17th may nini tatizo kwa mwenye ujuzi

Hili ni tatizo kwa wanaotumia tapatalk kwenye windows phone. Tangu tarehe 17 may hakuna notification zaidi ya private messages. Kwenye android naona inafanya vizuri.

Huu uzi nilishauleta hapa nadhani wengi mlikuwa hamjashtukia.

2fb7f1e526d1ed0685d9724b1a58dbd8.png
 
Mkuu mbona me situmii hiyo tapatalk tatumia android huawei y530 app ya jf lakini bado, notification zinaonesha zinaingia ila nikiingia kwenye notification panel hazijiupdate yani since 17th may mkuu
 
bora wewe kunaufadhali ... mi naona app inaweza ikawa inaload kitu ikakwama yani hapo ndio mpaka nifungue app upya. pm nasoma ila mpaka niifungue daa ntasubir sana.
 
bora wewe kunaufadhali ... mi naona app inaweza ikawa inaload kitu ikakwama yani hapo ndio mpaka nifungue app upya. pm nasoma ila mpaka niifungue daa ntasubir sana.

Kweli Broda., Hata mimi nimeExperience hilo kwenye jf app na kwenye tapatalk pia?
 
Mi huwa inatokea mara moja moja. Solution yake ni ku uninstall hiyo JF app na ku install latest version.
 
Mi huwa inatokea mara moja moja. Solution yake ni ku uninstall hiyo JF app na ku install latest version.

Wala hiyo sio solution, nilishafanya hivyo lakini bado ni yaleyale.
Hili tatizo ni serious na mods wameahidi kulishughulikia weekend hii.
 
Back
Top Bottom