Ni kwa nini Dar Es salaam hakuna jimbo lililopo mikononi mwa wapinzani?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Wakubwa
nimepitisha hoja hii kwenye jukwaa hili,baada ya kutafakari kwa muda mrefuu juu ya mwamko wa mabadiliko ya kidemokrasia hasa kwa nchi kama Tanzania.

Ukisoma mitandao ya niternert,vyombo vya Habari nk utagundua kuwa Jiji hilo ndilo lenye watu wengi wenye uelewa zaidi wa masuala ya demokrasia na kwa ligha nyingine uanzia hapo.

Lakini utashangaa kuona wakati wa uchaguzi majimbo yote yanachukuliwa na CCM na katika maeneo ya vijijini ambako hata magazeti ni shida wanachua vyama mbadala.

Tatizo hapa ni nini,tazama vyama vote vimezinfua kampeini zao hapo jangwani lakini matokeo yatanoesha wana dar wote wameichagua CCM baada ya octoba 31,

Hii imekaaje,au wenzagu hamjagudua kuwa wengi wao wanapiga kelele saaaaana hata kwenye mitandao kumbe hawana hata kadi za mpiga kura.................
 
Yaani wewe unachekesha wakati jibu unalo!
Wakatoliki wachache wasio na upeo watakwambia panga ndiye anafaa(yaani unajaribu jinsi ya kutumia rungu katika vita vya nyukilia!)Tusije mpa mbu kazi ya kutibu malaria.
Kumpa Padri madaraka ya urais katika nchi isiyo na dini(ila watu wake wana dini) ni sawa na kumpa mbu kazi ya kutibu malaria au fisi kulinda mizoga!
Ndugu yangu akili kichwani kwako hakuna atakaye kuja kukushikia kisu wakati wa kupiga kura,hao wote wanaolonga humu wengi wao hawatapiga kura kabisa wao wanakuzuga tuu eti chagua Padri kwavile tunasali naye kanisani lakini wakati wa matatizo hutowaona wakikusaidia!
 
hivi kweli una akili timamu ama, swali ama hoja ni nyingine kabisa na wewe unakurupuka na maruani yako na kutoa jibu lisilolake, mwaka huu nadhani mapaka uishe sijuhi utakuwa hali gani?
 
Back
Top Bottom