- Thread starter
- #41
Hapa hakuna lolote. Siku zote nimesema suala la Israel na Palestine halisemwi openly kwamba ni vita mpya kati ya Ukristo na Uislamu. Na hakutakuwa na utatuzi mpaka watu wote ikiwamo na wana JF tutakapokuwa tayari kusema ukweli kwamba ni dini tu ndizo zinatawala mijadala hii.
Hata hapa jf wote wanaounga mkono speech ya mtawala wa Iran ni wale wale waislamu waliofundishwa kuanzia katika vitabu vyao kuchukia Israel, na wanaounga boycot ya westerners ni Wakristo wanaoitetea Israel according to their books. Najua members wengi mrajaribu kukataa hili lakini ukweli huwa haubadilishwi kuwa uongo hata ukipakwa rangi ya uongo utabaki ukweli.
Lakini Israel si Wakristo kule. Ni Judaism. Katika population ya 6.7ml, wakristo ni 250,000 tu. Waislam ni wengi zaidi ya Wakristo. Pia pale ni origin za dini nyingi sana. Tunaongelea issues za Ahmedjahan na ndoto zake mfu.