Ni kutetea Israel au ni Ubaguzi kama tuujuavyo?

Hapa hakuna lolote. Siku zote nimesema suala la Israel na Palestine halisemwi openly kwamba ni vita mpya kati ya Ukristo na Uislamu. Na hakutakuwa na utatuzi mpaka watu wote ikiwamo na wana JF tutakapokuwa tayari kusema ukweli kwamba ni dini tu ndizo zinatawala mijadala hii.
Hata hapa jf wote wanaounga mkono speech ya mtawala wa Iran ni wale wale waislamu waliofundishwa kuanzia katika vitabu vyao kuchukia Israel, na wanaounga boycot ya westerners ni Wakristo wanaoitetea Israel according to their books. Najua members wengi mrajaribu kukataa hili lakini ukweli huwa haubadilishwi kuwa uongo hata ukipakwa rangi ya uongo utabaki ukweli.

Lakini Israel si Wakristo kule. Ni Judaism. Katika population ya 6.7ml, wakristo ni 250,000 tu. Waislam ni wengi zaidi ya Wakristo. Pia pale ni origin za dini nyingi sana. Tunaongelea issues za Ahmedjahan na ndoto zake mfu.
 
Duh! Yaani unalazimisha hivi hivi! Kazi kweli kweli.

Hivi unajuwa kuwa miongoni mwa wanaharakati wa Kipalestine ni wakristo?

Au ndio udini wenyewe huo ulio jificha ndani ya nafsi yako katika kulazimisha mada. Yaani unaipeleka kombo hivi hivi.

Utawala wa kidhalimu wa kiyahudi si kikristo kaka.
Wapo pale kutetea maslahi ya serikali ya kidhalimu ya kiyahudi na si maslahi ya Waislam au wakristo... buldoza likipita kwenye nyumba za Wapalestine halichagui... linazoa zoa tu... Wakristo inabidi muamke!
 
MF, siyo kweli Watanzania wote wanaounga mkono Wapalestine ni Waislam. Nyerere hakuwa Muislamu na aliuunga mkono juhudi za Wapalestine kupambana na udhalimu dhidi yao. Asilimia kubwa ya Waingereza na hata Wafaransa (wazungu) wako upande wa Wapalestine na tuko wakristo wengi tu wa Kitanzania ambao hatukubaliani na unyama unaofanywa dhidi ya Wapalestine. Asilimia kubwa ya wayahudi siyo wakristo na hata Xmas hawaisheherekei kama wakristo wengi duniani. uDhalimu unaofanywa huko hautofautiani na ule uliofanywa na wabaguzi wa South Africa na hili halikuigawa dunia au Tanzania katika udini bali katika kuangalia haki za binadamu na manyanyaso yaliyokithiri.
 
BKK, X-P. Mwanjelwa.
Nawaelewa hoja zenu. Naelewa kwamba si Wayahudi wote ni wakristo kama isivyokuwa kweli kwamba Waarabu wote ni Waislamu.
Lakini nabaki nimesimama katika ukweli huu huu nilio na uhakika nao. Na nitabaki nikiamini hivyo kwa miaka mingi ingawa kwa kweli sifurahii mateso ya mwanadamu yeyote maana yule anayemuua mpalestina na mpalestina anayejilipua wote wanatenda kosa lile lile. Anaondoa kwa mateso na maumivu maisha ya mwanadamu mwenzie. Awe na sababu au hana wote wanakosea.
Lakini nikirudi tena kwenye point yangu nitabaki na kubaliana na nafsi yangu kwamba hii ni hidden modern religious war, mkubali au msikubali ndivyo ilivyo. Na pale tutakapokubali hili openly nadhani tutapata suluhisho la amani kati ya koo hizi mbili. Wapalestina na Jews.
 
Nuliza swali moja: Je serikali ya Kidhalimu ya kiyahudi ni serikali ya kikristo!?
 
Ebu angalia sasa. Huyu ndiye aliyekuwa anapigania ubaguzi wa rangi uishe duniani! Ndani kwake tu tatizo......!

Iran execution provokes outrage

Source: BBC NEWS | World | Middle East | Iran execution provokes outrage

Ms Darabi's case was brought to the world's attention by her paintings
Human rights groups have protested against the execution on Friday of a young Iranian woman for a murder committed when she was 17 years old.

Amnesty International said it was outraged by Delara Darabi's hanging and that she did not get a fair trial.

The head of Iran's judiciary had recently granted a two-month stay of execution but her lawyer says this was disregarded by the prison authorities.

Ever since her confession Ms Darabi, an artist, had said she was innocent.

She said she had taken the blame to save her boyfriend.

Her case received international attention after dramatic paintings and drawings created in her cell were seen around the world.

'Save me'

The head of the Iranian judiciary recently granted a two-month stay of execution.

But according to her lawyer this order was simply disregarded by the prison authorities, who provided no notice of the execution.

Ms Darabi's case attracted attention around the world
The BBC's Jon Leyne in Tehran says that early on Friday morning Delara Darabi made a desperate phone call to her parents, saying she could see the hangman's noose.

"Mother they are going to execute me, please save me," she said, before a prison official took the phone away and said: "We are going to execute your daughter and there's nothing you can do about it."

Hassiba Hadj Sahraoui, Amnesty's deputy chief for the Middle East and North Africa, said that the execution was a cynical move to avoid international protests.

"Amnesty International is outraged at the execution of Delara Darabi, and particularly at the news that her lawyer was not informed," she said.

"Amnesty International does not consider her trial to have been fair, as the courts later refused to consider new evidence which the lawyer said would have proved she could not have committed the murder," a statement by the group said.

The statement added that Iran had executed 42 juvenile offenders since 1990, in disregard of international law.
 
Huyu mwanjela akapime akili kwa maana maelezo aliyo yatoa ni kama mwendawazimu ambae hafikiri?
Na hayo kuhusu irani hamanishi 100% ya raia wanapenda dini wapo wachache wapendao hanasa za dunia kama mwanjelwa?? Kusapoti umagharibi ukumbuke kuhalalishwa kwa ushoga hadi kwenye tasisi za dini sijui yesu alifundisha uhuru huooo???? Jibu
 
nyinyi watu wa media ikiwemo jamii acheni propaganda za kimagharibi? Na kwa hakika munajua ukweli upo wapi?
mtazamo wenu israel inavyofanya ni sawa?? Kumbukeni hitla alifanya kama hayo wanayo yafanya au zaidi na historia hujirudi ngojeni na sisi tunangoja!!
 
Hivi bushi aliposema hi ni vita ya msalaba wakati vita inaanza afghanistani alikusudia nini?????? Tufunzeni tujue`!!!!
 
nyinyi watu wa media ikiwemo jamii acheni propaganda za kimagharibi? Na kwa hakika munajua ukweli upo wapi?
mtazamo wenu israel inavyofanya ni sawa?? Kumbukeni hitla alifanya kama hayo wanayo yafanya au zaidi na historia hujirudi ngojeni na sisi tunangoja!!

Defective and malicious wishful thoughts. Who is wicked here?

nazisislam6.jpg

naziislam.jpg

lynching8.jpg

lynching16.jpg

palestinians.jpg

palescelebration.jpg

hang4a.jpg
 
media imetumika mara nyingi kupotosha umma, mfano
1.picha inaoonyesha tukio lakin maelezo yakawa sio ya tukio
2.je huyo alienyongwa kanyongwa na nani? kwa sababu gani?
3.hukumu ya kunyonga sio ngeni! hata tanzania hukmu hiyo ipooo! na huko marekani watu kadha wa kadha hunyongwa! sadam,macavei ect
4.huenda kapigwa mwizi kauliwa lakini picha ikaleta maelezo tofauti.

conclution:
msiwe vichwa maji chunguzeni na someni mpate kujua.
msiburutweee tuuu ndugu....!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom