- Thread starter
- #21
Kabla ya 1948 kwa nini Waisraeli waliikimbia nchi yao na kuwachia Waarabu?
Tuanzie hapa: [ame=http://en.wikipedia.org/wiki/Israel]Israel - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]
Kabla ya 1948 kwa nini Waisraeli waliikimbia nchi yao na kuwachia Waarabu?
Hawakukimbia wote kwa wakati mmoja,walikimbia kidogo kidogo kutokana na matukio ya kibaguzi yaliyokuwa yanafanywa dhidi yao kuanzia utawala wa warumi,utawala ya Waturuki,utawala wa Wakristo,Utawala wa Waislamu,n.k na ata hivyo sio wote waliokimbia,muda wote kulikuwa na idadi ya Wayahudi walioendelea kuishi hapo.Kabla ya 1948 kwa nini Waisraeli waliikimbia nchi yao na kuwachia Waarabu?
"Katika hii Dunia, nimepita sehemu kibao, lakini sijawahi ona wabaguzi kama WAARABU. Sina hakika kama ina uhusiano na dini, ila jamaa ni wabaguzi sana sana."
Mwanjelwa:
Sijapata bahati kutembelea nchi za Kiarabu, lakini nimetembelea nchi kadha za Ulaya -- nami nasema sijapata kuona watu wabaguzi, tena wa kupindukia -- hasa dhidi ya watu weusi -- kama Waitalia, Wadanish na Wahispania.
Kwa mfano -- sikushangaa sana kusikia jana kuwa Club ya Juventus imepewa adhabu ya kucheza mechi yake ijayo ya nyumbani bila ya kuwa na mashabiki wake. Hilo linatokana na mashabaki wake kumzomea, kumtukana kwa kumuimbia nyimbo za matusi mchezaji wa Inter, Mario Baloteli, mweusi mwenye asili ya Ghana -- wakati wa mechi baina hizo timu mbili hivi karibuni.
Sidjhani kama hawa ni dini, ila ni kutokana na rangi tu -- kama vile walivyokuwa wabaguzi wa Afrika ya Kusini, waliwabagua Waafrika kwa ajili ya rangi tu.
Pamoja na Marekanui sasa kuongozwa na mtu mweusi lakini kuna Wamarekani weupe bado ni wabaguzi kweli kweli dhidi ya weusi. wengi wa mamilioni ya wale ambao hawakumpigia kura walikuwa weupe na walikuwa wanataja waziwazi kwamba hawataki kutawaliwa na mtu mweusi na hata kumtuhumu ati ni Muisilamu kisirisiri!
Wale watumwa (Waafrika) kule Uarabuni walihasiwa ili wasiweze kuwapa mimba wanawake wa Kiarabu!
katika sehemu kibao ulizopita sina hakika (ukweli unaujua mwenyewe)kama umepita huko Israel, Marekani, U.K ambako na hata ulaya mashariki. Kama mpenzi wa michezo,tuseme soka utanambia mikasa ya ubaguzi inapatikana sana maeneo gani, na kwanini kina Samuel Eto'o wanatamani kutoka uwanjani wakati mwengine kwa adha hii. kwa hivyo wale WABAGUZI SANA ndo akina hawa wanaokimbia mikutano ya kupinga ubaguzi.Katika hii Dunia, nimepita sehemu kibao, lakini sijawahi ona wabaguzi kama WAARABU. Sina hakika kama ina uhusiano na dini, ila jamaa ni wabaguzi sana sana.
katika sehemu kibao ulizopita sina hakika (ukweli unaujua mwenyewe)kama umepita huko Israel, Marekani, U.K ambako na hata ulaya mashariki. Kama mpenzi wa michezo,tuseme soka utanambia mikasa ya ubaguzi inapatikana sana maeneo gani, na kwanini kina Samuel Eto'o wanatamani kutoka uwanjani wakati mwengine kwa adha hii. kwa hivyo wale WABAGUZI SANA ndo akina hawa wanaokimbia mikutano ya kupinga ubaguzi.
Hebu fanya reference ya lile azimio la ule mkutano wa Durban, ambako iliposemwa tu kuwa ZIONISM ina element za kibaguzi mataifa hayohayo yanayokataa leo kuhudhuria ndiyo yalitoka mkutanoni, kumaanisha nini kuwa suala la ubaguzi ndo linalowastawisha kma vile suala la uchafuzi wa mazingira linavyochangia ukuaji wa viwanda vya nchi za kibepari mf. marekani, ndo maana wakakataa kusaini KYOTO PROTOCOL,kwa kuwa hakuna maslahi kwao, na kwa hoja yangu ipo palepale kuwa wanakataaa kuhudhuria kwa kuwa ustawi wa mambo yao na ubepari wao unategemea huo ubaguzi, hivyo pahala panaposemwa ubaguzi hawatakubali kukaa,kwa kuwa hapana faida kwao.Suala la kuwa na uhakika achana nalo. Weka points zako. Ili uelewe nina maana gani: hata kule Zanzibar. mtu wa Bara hatakiwi kule. Sijui kama unaelewa hili. Sasa ule si ubaguzi. Ni utaifa mkali sana. Ndiyo iwe wakina Et'oo!? Sijui kama umewahi fanya kazi nje ya nchi, lakini common questions kila siku kama siyo kila week ni: hivi nchi yako ni maarufu kwa kitu gani? Hilo swali lina elements za kibaguzi kama ukilielewa vema.
Tukirudi kwa Waarabu, wenyewe kwao Africans ni mikosi. Hutakiwi kutumia nguvu nyingi kufikiria haya nisemayo; angalia African-Arabs wenzako kule Sudan wanavyokula ma-blacks wafrica wenzao!. Unahitaji nguvu gani kufikiria haya?!

Hebu fanya reference ya lile azimio la ule mkutano wa Durban, ambako iliposemwa tu kuwa ZIONISM ina element za kibaguzi mataifa hayohayo yanayokataa leo kuhudhuria ndiyo yalitoka mkutanoni, kumaanisha nini kuwa suala la ubaguzi ndo linalowastawisha kma vile suala la uchafuzi wa mazingira linavyochangia ukuaji wa viwanda vya nchi za kibepari mf. marekani, ndo maana wakakataa kusaini KYOTO PROTOCOL,kwa kuwa hakuna maslahi kwao, na kwa hoja yangu ipo palepale kuwa wanakataaa kuhudhuria kwa kuwa ustawi wa mambo yao na ubepari wao unategemea huo ubaguzi, hivyo pahala panaposemwa ubaguzi hawatakubali kukaa,kwa kuwa hapana faida kwao.
Kuhusu Zanziabar na wabara hizi ni "cheap politics" sitoweka comment
Hivi kweli huu mkutano kama sisi waafrika unatusaidia nini?
Hivi mimi kama mwafrika honestly..ubaguzi haunisumbui..
I have far far...pressing issues..kama njaa, magonjwa nk.
Hivi wazungu wangesema haya kuhusu mikutano mbali mbali inayofanyika ili kusaidia nchi za Kiafrika katika matatizo mbali mbali je, tungefika!!!? Nchi nyingi za magharibi zilikuwa mstari wa mbele kuiwekea vikwazo vya kiuchumi na michezo serikali dhalimu na ya kibaguzi ya South Africa. Hivi wangeamua kusema haya ni matatizo ambayo hayazihusu nchi zetu kabisa, si ajabu hadi leo hii serikali ile ya kidhalimu na kibaguzi ingekuwa bado iko madarakani. Dunia yetu ni moja unaposhiriki katika kutafuta ufumbuzi wa matatizo 'yasiyokuhusu' basi na wewe unapokuwa na matatizo wale 'yasiyowahusu' wanaweza kukutana ili kutafuta njia za kukusaidia.
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu! Katoe kauli hiyo kwa Wasouth Africa ambao walilazimika kuishi kama wakimbizi katika nchi mbali mbali duniani kwa miaka mingi sana, na wale walioshindwa kufanya hivyo waliouawa maelfu kwa maelfu na serikali dhalimu ya kibaguzi.
Naam kutokana na ubaguzi unaofanywa dhidi ya Wapalestine wamenyang'anywa hata ardhi yao yenye rutuba. Wataalam wao mbali wakiwamo madaktari wamehamia nchi nyingine ili kukimbia hali ya maisha ya kutisha na waliobaki kutokana na kutokuwa na uwezo wa kuhamia nchi nyingine wanakufa kutokana na kutopata lishe bora au matibabu kwa magonjwa ambayo yanatibika kirahisi kabisa.
Mkuu heshima mbele,
I beg to differ kwamba mataifa ya magharibi ndo yalimaliza ubaguzi South Africa.
Ubaguzi ulimalizwa na waafrka wenyewe.
Vikwazo gani ambavyo unaongelea? NANI alikuwa anawapa silaha hawa makaburu? Nani alikuwa ananunua bidhaa zao? Mpaka juzi juzi Mandela alikuwa ni gaidi kwenye list ya FBI. Sema hapa..wazungu walifika point wakaona the point has come. Kushindwa kwa ubaguzi kulikuwa inevitable. Michango ya akina Julius, Mugabe, nk..ndo ilimaliza ubaguzi na wala si akina Reagan na wenzake.
KWA HIYO SISI waafrica..matatizo yetu hayataisha kwa vikao vya akina G8, au UN huko wapi..ni sisi kupambana. Ukiwa masikini hakuna anayekusikiliza. Kila mtu anakuona ***** tuu..