Inauzwa tena ukitembea huko Duniani ndo utashangaa zipo za kila race we ukipita street unacheki tu kwenye vioo utakaye muelewa unaingia labda tu umshaur na baba *****aanzishe na huku apate kodiHivi vyote hivifikii thamani ya k, ndo maana haiuzwi wala haitolewi bure
HahahahIla wakuu tuache matani papuchi ya mchepuko mara nyingi huwa ni tamu!
btw so dili saana kama mfuko ni mwembamba; piga chini usile nyasi mjini ohoo!!
Hivi ujui watu wanaonga magari,majumba na wanauwana kwa sbb y k,mkuu we kubali yaisheKwahiyo hyo k ina thamani ya vitu vyote alivyotaja
tumia hiyo michepuko wewe........ wife only is some how tiresomeSalaam.
Nina mambo Mengi mno ya kueleza lakini kwa sababu sipendi kuwachosheni itabidi nifupishe.
Baada ya kuamishwa kikazi kuja mwanza nilipata binti( mama wa mtoto mmoja) sharti alilonipatia ni kumpangia nyumba, Nami nikakubaliana nae sasa baada ya kupanga anaanza kunitajia vitu kibao anataka sofa, flat screen, kitanda cha chuma, subwoofer, red carpet, vyombo vipya nk.
Ukiangalia mirija yote ya kupata pesa ya ziada siku hızı hakuna mtu unategemea mshahara tu nao ni laki Saba tu kwa mwezi. Pili sijaona faida kabisa ya kuwa na mchepuko usawa huu ni vikwazo vikubwa vya maendeleo. Hivyo niamua kupiga chini kwa sababu input ni kubwa mno kuliko output.
Labla anayejua faida ya kuwa na mademu wa staili hii anijuze.
Yawezekana unampiga kipigo cha mbwa mwitu ndio maana anataka msaada wa mwenzie kijanja asaidiweMke wangu kaniambia kama sina mchepuko ataniacha.
Kaniambia nitafute mchepuko ila nisimuambie, akihitaji kumfahamu atamjua kwa nafasi yake.
Hajawahi kunipa sababu.
Yawezekana unampiga kipigo cha mbwa mwitu ndio maana anataka msaada wa mwenzie kijanja asaidiwe
Salaam.
Nina mambo Mengi mno ya kueleza lakini kwa sababu sipendi kuwachosheni itabidi nifupishe.
Baada ya kuamishwa kikazi kuja mwanza nilipata binti( mama wa mtoto mmoja) sharti alilonipatia ni kumpangia nyumba, Nami nikakubaliana nae sasa baada ya kupanga anaanza kunitajia vitu kibao anataka sofa, flat screen, kitanda cha chuma, subwoofer, red carpet, vyombo vipya nk.
Ukiangalia mirija yote ya kupata pesa ya ziada siku hızı hakuna mtu unategemea mshahara tu nao ni laki Saba tu kwa mwezi. Pili sijaona faida kabisa ya kuwa na mchepuko usawa huu ni vikwazo vikubwa vya maendeleo. Hivyo niamua kupiga chini kwa sababu input ni kubwa mno kuliko output.
Labla anayejua faida ya kuwa na mademu wa staili hii anijuze.
zikija za kichina no stress, no mizinga beutygirl utaliahahahahahha. kwaiyo na zakichina mtakua nao wawiliwali au?
Umemkuta na maisha yake afu ghafla kukuona wewe umemfata ndo akapata wazo la kupanga?au uliji pump wewe mwenyewe?coz huwezi enda tu mkoa ukamkuta mwanamke tena wanawake hawa wa kisasa ukampangishie nyumba,unaweza ishia kujilaumu tu.Salaam.