Hata kama una Pesa michupuko sio dili hata kidogo. Kaa na mke wako tulia, mjenge familia bora.Sema output ni kubwa kuliko input... By the way michepuko haina faida kama huna pesa.
sababu na yeye anamchepuko najua utabisha ila chunguza utajua jamboMke wangu kaniambia kama sina mchepuko ataniacha.
Kaniambia nitafute mchepuko ila nisimuambie, akihitaji kumfahamu atamjua kwa nafasi yake.
Hajawahi kunipa sababu.
HahahahSasa ulimpangia nyumba akae chini? Aangalie madirisha badala ya TV. hakuna namna aidha upige chini au ugharamie. Nothing Goes for nothing.
Vya mchina havina raha km original...ujui hd watu wanauwan sbb ya hii kitutatizo vidada vya sikuizi vinapenda slope sana... yan iyo papuchi wanaona big issue
mm namsubiri mchina atuletee za kichinaa!! mbona watalia machozi ya damu!
we mpangie sie tule papuchiSalaam.
Nina mambo Mengi mno ya kueleza lakini kwa sababu sipendi kuwachosheni itabidi nifupishe.
Baada ya kuamishwa kikazi kuja mwanza nilipata binti( mama wa mtoto mmoja) sharti alilonipatia ni kumpangia nyumba, Nami nikakubaliana nae sasa baada ya kupanga anaanza kunitajia vitu kibao anataka sofa, flat screen, kitanda cha chuma, subwoofer, red carpet, vyombo vipya nk.
Ukiangalia mirija yote ya kupata pesa ya ziada siku hızı hakuna mtu unategemea mshahara tu nao ni laki Saba tu kwa mwezi. Pili sijaona faida kabisa ya kuwa na mchepuko usawa huu ni vikwazo vikubwa vya maendeleo. Hivyo niamua kupiga chini kwa sababu input ni kubwa mno kuliko output.
Labla anayejua faida ya kuwa na mademu wa staili hii anijuze.
Kwahiyo hyo k ina thamani ya vitu vyote alivyotajaUnapigia mahesabu tu vitu twako, afu we wataka uchi bure bure upige weeee kama wako vile.......