cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 500
ujue kila anayesikia kuhusu hii issue anasema hivyo hvyo kuwa jamaa lada chizi lkn cha kushangaza uchizi wake anamfanyia huyu dada tu maana kwingine koote sio chizi tena ana cheo mahala na anafanya kazi vizuri tu.asante kwa ushauri lkn dada anashindwa kumripoti polisi sbb marafiki wa huyo kaka pia ni marafiki zake huyu dada kwa hiyo anafeel guilt.Hiyo tena kero sasa kwanini huyo dada asiende kumlipoti polisi. Huyo jamaa anaonekana ana matatizo kidogo 'hau camu' amnyime mwenzie maisha kwa mawazo yake. Nendeni kunakohusika kwa rafiki zake waongee nae au ikibidi kwenye mkono washeria.
Sito staajabu nikisikia jamaa kamtandika dada kisu kisa kamuona na kaka mwingine au yeye kajinyoga, tuombe in the worst case scenario the latter happens. Dada anahitaji kuhakikisha analimaliza hili kwa namna yeyote kwa usalama wake na kaka anahitaji kumuona a mental health proffesion yuko mmoja kule mwananyamala B, DR. Mamuya.
huyu dada ni 27 na jamaa 32!how old are they??????
yaani huyo ni kinganganizi imagine kila siku asubuhi mchana na jioni amejiwekea ratiba anatuma sms za mapenzi bila kujali anachosema huyu dada.Shabashi jamni midume mingine haisikii kha!
yaani huyo ni kinganganizi imagine kila siku asubuhi mchana na jioni amejiwekea ratiba anatuma sms za mapenzi bila kujali anachosema huyu dada.
haya choice ni yake guilty conscious against usalama, wake, maisha yake na vyote dada wa miaka 27 anatakiwa kufanya kwa muda huu. Au aendelee kum-entertain a psychopath chizi si lazima aokote makopo Mrembo.ujue kila anayesikia kuhusu hii issue anasema hivyo hvyo kuwa jamaa lada chizi lkn cha kushangaza uchizi wake anamfanyia huyu dada tu maana kwingine koote sio chizi tena ana cheo mahala na anafanya kazi vizuri tu.asante kwa ushauri lkn dada anashindwa kumripoti polisi sbb marafiki wa huyo kaka pia ni marafiki zake huyu dada kwa hiyo anafeel guilt.
magu thanx kwa offer ya kumlinda lakini sorry siwezi kutaja jina wala adress ya anapokaa!wee huogopi kugongwa na gari?Mapenzi kizunguzungu jamani...lkn huyo sasa itakuwa kiarabuarabu maana mwendo wa matishio tuuu mpaka kieleweke lkn anaweza toa mtu roho jamani..wakae mbali wanaomfuatilia huyo dada...unaweza nitajia jina lake na anapokaa ili nimlinde huyo dada maana anahitaji mijitu kama sie ili huyo jamaa tumtoe roho yeye kabla hajaathiri wengine..
yaani huyo ni kinganganizi imagine kila siku asubuhi mchana na jioni amejiwekea ratiba anatuma sms za mapenzi bila kujali anachosema huyu dada.
the boss toa maushauri acha kutoka nje ya mstari!umeuliza umri nimekupa nangojea hekima zako boss!cheusi mangala,
hivi hiyo shepu yako
ndo zile dawa za wachina sio????????
dada hawezi kubadili namba yake labda kumbloc nitamshauri,lkn maria roza huyo dada keshampaka hadi kwa matusi oficini kwake lkn kaka huyo is of his own kind my dear,ni kero,kero hakomi nadhani anakomoa.Mshauri huyo dada abadili namba ya simu au amblock hiyo inaweza saidia hiih ihihi ila ningekuwa mie namfata kwao nampa live maana hakomi aagrrr
dada hawezi kubadili namba yake labda kumbloc nitamshauri,lkn maria roza huyo dada keshampaka hadi kwa matusi oficini kwake lkn kaka huyo is of his own kind my dear,ni kero,kero hakomi nadhani anakomoa.
how old are they??????
he he heee,nilijua whats next,huyo ndio the big boss bwana.cheusi mangala,
hivi hiyo shepu yako
ndo zile dawa za wachina sio????????
labda ya polisi ndio itasaidia na sidhani kama naweza kufungwa na akiwa huru najua ataendeleza tu maana hamna maneno anayoambiwa akaelewa,anakero kishenzi!Dah hapo sasa hakuna jinsi mshauri huyo dada akae chini na huyo kaka amueleze tu vizuri inaweza saidia kidogo mhh kaka kweli kapenda π
hivi maria roza ingekua ni wewe unafanyiwa hivyo ungedhani ni kupendwa au kukomolewa sbb ulimkataa?Dah hapo sasa hakuna jinsi mshauri huyo dada akae chini na huyo kaka amueleze tu vizuri inaweza saidia kidogo mhh kaka kweli kapenda π
hivi maria roza ingekua ni wewe unafanyiwa hivyo ungedhani ni kupendwa au kukomolewa sbb ulimkataa?