Kibunago JF-Expert Member Jan 11, 2008 300 122 May 31, 2010 #1 Je inabidi tucheke tu au kuna ujumbe wa kuzingatia, kutafakari au wa kujadili Angalia hapa wavuti - Video. (Orijino komedi na mtu mzito) Shukrani ziwafikie wavuti - Home Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Je inabidi tucheke tu au kuna ujumbe wa kuzingatia, kutafakari au wa kujadili Angalia hapa wavuti - Video. (Orijino komedi na mtu mzito) Shukrani ziwafikie wavuti - Home
Balantanda JF-Expert Member Jul 13, 2008 12,476 4,755 May 31, 2010 #2 Kibunago said: Je inabidi tucheke tu au kuna ujumbe wa kuzingatia, kutafakari au wa kujadili Angalia hapa wavuti - Video. (Orijino komedi na mtu mzito) Shukrani ziwafikie wavuti - Home Click to expand... Nimeiangalia hii mkuu...............Nimecheka sana aisee Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kibunago said: Je inabidi tucheke tu au kuna ujumbe wa kuzingatia, kutafakari au wa kujadili Angalia hapa wavuti - Video. (Orijino komedi na mtu mzito) Shukrani ziwafikie wavuti - Home Click to expand... Nimeiangalia hii mkuu...............Nimecheka sana aisee
U Ubungoubungo JF-Expert Member Jul 28, 2008 2,502 739 May 31, 2010 #3 kati ya vitu walivyonifurahisha tangu wameanza hii kitu ni leo...wamemwigiza MAGUFULI kama alivyo, ni vizuri sana wamefanya....
kati ya vitu walivyonifurahisha tangu wameanza hii kitu ni leo...wamemwigiza MAGUFULI kama alivyo, ni vizuri sana wamefanya....
Kibunago JF-Expert Member Jan 11, 2008 300 122 May 31, 2010 Thread starter #4 Hata mimi nimewakubali. Kwa kweli hii kazi ilisanifiwa vyema.
RayB JF-Expert Member Nov 27, 2009 2,751 196 May 31, 2010 #5 Duh hapo nimekubali nadhani ni Seki huyu ndiye huwa anaigiza sauti za viongozi-lakini magufuli amesomea barabara? hapo ndo pa kuhoji
Duh hapo nimekubali nadhani ni Seki huyu ndiye huwa anaigiza sauti za viongozi-lakini magufuli amesomea barabara? hapo ndo pa kuhoji
Mwana wa Mungu JF-Expert Member Aug 14, 2008 1,003 83 May 31, 2010 #6 mwangalie walivyomuweka malecela.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Balantanda JF-Expert Member Jul 13, 2008 12,476 4,755 Jun 1, 2010 #7 Mwana wa Mungu said: mwangalie walivyomuweka malecela.... Click to expand... Hawa vijana ni wabunifu sana aisee...........Nawasifu sana kwa segment hii waliyoianzisha Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwana wa Mungu said: mwangalie walivyomuweka malecela.... Click to expand... Hawa vijana ni wabunifu sana aisee...........Nawasifu sana kwa segment hii waliyoianzisha