Ni Kuchekesha tu au kuna ujumbe mwingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Kuchekesha tu au kuna ujumbe mwingine

Discussion in 'Entertainment' started by Kibunago, May 31, 2010.

 1. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2010
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Je inabidi tucheke tu au kuna ujumbe wa kuzingatia, kutafakari au wa kujadili

  Angalia hapa wavuti - Video.
  (Orijino komedi na mtu mzito)

  Shukrani ziwafikie wavuti - Home
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Nimeiangalia hii mkuu...............Nimecheka sana aisee
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kati ya vitu walivyonifurahisha tangu wameanza hii kitu ni leo...wamemwigiza MAGUFULI kama alivyo, ni vizuri sana wamefanya....
   
 4. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2010
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nimewakubali. Kwa kweli hii kazi ilisanifiwa vyema.
   
 5. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Duh hapo nimekubali nadhani ni Seki huyu ndiye huwa anaigiza sauti za viongozi-lakini magufuli amesomea barabara? hapo ndo pa kuhoji
   
 6. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mwangalie walivyomuweka malecela....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Hawa vijana ni wabunifu sana aisee...........Nawasifu sana kwa segment hii waliyoianzisha
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...