Habari wadau,
Nina degree ya Economics nataka kusoma Masters ninazo kozi mbili naomba mnishauri ipi ina soko mtaani kati ya Msc Finance and Investment toka IFM na Msc in Economics from Open university.
Napenda kujua ipi ni kozi isiyona shida ktk usomaji wake na baada ya kusoma ipi itanisaidia kwa haraka kuongeza ujuzi unaohitajika mtaani?
Natanguliza shukrani zangu kwenu