Ni kozi ipi Kati ya hizi inafaa kusoma kwa Sasa?

Parabora

JF-Expert Member
Jul 6, 2019
1,504
2,180
Naomba ufafanuzi na muongozo wa wadau wenye uelewa na hizi programmes hasa kwa mazingira ya nchi yetu huko nyumbani kuna ndugu yangu anahitaji kwenda chuo mwaka huu, kwa minajiri ya kujiajiri zaidi.

Programme ipi Kati ya hizi inafaa kusoma na kwa nini?

1. Bachelor of Architecture ( B. Arch)
2. Bachelor of science in interior Design ( Bsc.ID)
 
Naomba ufafanuzi na muongozo wa wadau wenye uelewa na hizi programmes hasa kwa mazingira ya nchi yetu hii, kwa minajiri ya kujiajiri zaidi.

Programme ipi Kati ya hizi inafaa kusoma na kwa nini?

1. Bachelor of Architecture ( B. Arch)
2. Bachelor of science in interior Design ( Bsc.ID)
Kujiajiri hakujalishi umesomea nini kijana, hata usiposoma kabisa unaweza kujiajiri.

Kinachohitajika ni mtaji na ujanja wako tu
 
Back
Top Bottom