maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 652
- 1,388
Mimi naamini hivyo,ukimpa uongozi mwanamke kwani atategemea kila kitu aamuliwe na mwanaume au wanaume.
Kibaya zaidi watamuamulia kwa maslahi yao kwanza hawatajali kama huyu mwanamke ataaibika,maana wanajua kwa kila aibu itajulikana aliyeamua ni huyo mwanamke
Kizuri mwanaume anapoamua jambo lake huwa hapendi kufanya vibaya kwa anayotaka kuyaamua ndiyo maana kabla ya kuamua hufikilia kwanza madhara na faida ya hilo jambo
Lakini mwanamke ni mtu wa kukurupuka huwa anaangalia kwa mda ule tu,na pindi jambo likishaharibika tu nafsi yake humuuma sana yuko radhi ajifungie ndani na asitoke inje
Hebu jiulize hivi Magufuli angekubali aruhusu yale yaliyotokea tarehe 29? Mimi naamini kuna watu walimshauri Hangaya ili yafanyike kwa maslai yao
Unajua Tanzania ilikuwa haijulikani kidunia kivile lakini imejulikana sababu ya yale mauwaji ya kutisha
Sijui mlioko madarakani mtaliponya vipi taifa maana badala ya kutafuta muafaka kwanza ndiyo mnazidi kuharibu
Ukitaka kujua watu wamezira angalia jinsi tume ya jaji Chande inavyokataliwa kupewa ushirikiano, vilevile kutokupewa sapoti kwa jambo lolote la kitaifa
Wazo langu kwa viongozi mtoeni Tundu Lisssu gerezani pamoja na wote wale wanaoshikiliwa
Na wasiojulikana itisheni mjadala wa kitaifa, wawajibishwe wote waliofanya mauaji, paitishwe serikali ya mpito au mama jiuzuru ili uponye nafsi yako.
Naamini Tanzania itarudi kwenye mstari wake bila hivyo tusubirie anguko jingine baya kabisa linalokuja mbele yetu