mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 801
Ni utafiti mdogo tu,
Nilijikuta nagundua kuwa ikiwa simhitahi mtu hata kama namfaham, achilia mbali kama sikujui sina haja kusave namba yako ktk smart yangu kwa sabb haitatoka tena,
Ukiwa simu hiz za kisasa usijaribu kusave kwa sabb mhusika endapo anatumia whatsupp utaendelea kumuona.
Utadelete,kufuta namba yake lkn kwenye whatsupp ataendelea kukaa.