Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 11,321
- 14,172
Siku yoyote inayojenga hata tofari moja unatakiwa kuwepo.Nina eneo langu hapo mpigi magoe kwa mama mzungu nataka anza kifanyi makeke…
Shukrani kwa uzi huu mzuri na wenye kufundisha mambo kadhaa muhimu
Hakuna watu wasio waaminifu kama wajezi.
Na utumie Kipande system.
Anamaliza kazi huku ukiwepo ndio umlipe.