Ni kosa gani hutalisahau katika mahusiano yako?

Nilikuwa namalizia primary mda huo nikawa nimependana na classmate wangu. Siku moja mama yake alilazwa hosptl, enzi hizo hakuna simu, hivo nikamtumia barua kuwa nakuja hospitali kumwona mama. Lakini mfukuni sikuwa na hata sh kumi, hiyo kitu iliniumiza akili sana. Nikapata wazo jioni hiyo kuwa niibe jogoo ndani usiku huo huo afu nimfiche mahali asubuhi nikamwuze nipate hela ya kwenda kumsalimia mpenzi wangu. Nilifanikiwa kuiba jogoo afu nikaenda kumficha kichakani nikaenda kulala. Asubuhi sana nikaamka kuelekea kichakani aliko jogoo, nikakuta mguu wa jogoo tu ule niliofungia kamba. Jogoo kaliwa sijui na nini, kiliniuma sana, nilifanya ujinga mkubwa, nikajua ni kwanini kuku huwa wanafungiwa bandani.
 
Siku nilipomfuma gf wangu na X wake kwenye getho la gf wangu. Hio siku nahisi mpaka mauti yakinifika sito sahau kamwe, 4 years now ila bado I remember as if it was yesterday. That day was a turning point in my love life, I was this good boy, faithful and a one man woman. But that day I realised I was on the wrong pathway, turned into not only a player.... But a beast, yaani nilivyoumia siku ile. Moyo umeota sugu, huruma imeisha kabisa, sometimes naumiza watu mpaka najishtukia but naona bado its not enough.....i hope one day I will turn back to the old me.
 
Unaweza kujisikia vibaya sana...lakini unaweza kukuta huo ufirauni wa jamaazako ulikuepusha na balaa kubwa sana kama ungepanda juu ya kiuno cha huyo mtoto
Mkuu mtoto alikuwa bikra bado na si wajua wahindi wabaguzi.. Hivo nilimpania ntapiga kibaiskeli hadi akiwa anatembea anahisi nipo nahemea.
Hafu wanasemaga baya aliwazalo mjinga ndio linalomtokea, hivo kwa mimi kupigana nae miti niliona ni kama kupigana miti na kina mwajuma ama asha utofauti ni race na imani zetu. Ila zaidi ya hapo hamna lolote maana hata wao wanatugongea dada zetu. So it will be a two way road
 
Sintosahau siku nlipomuomba tigo demu mpya kwao mambo swafi!
Alishazoea kuja ghetto namtafuna kiroho safi tangu hiyo siku nilipoomba jicho alichange na hajawahi kunitafuta
Mhuuuu kweli anastahili sana kukutenda ni hqki yqke kabisaaa.
 
Siku walipo kuwa ndege wengi wanaingia kanisani kwetu wilaya ya Pangani, kisha ukaja mjadala wa kizuia ndege wasichafue kanisa kwa majani ya mtundu yao.
Ndipo niliposema kwanini tusifunge mapitio yao yote,
Nilionekana sikufikiri kwa kina, kuwa matundu yale yalikuwa na kusudi ya kuingiza hewa kanisani kutokana na wingi wa waumini,
Na mimi nikakazana tuyazibe kwa matofari
Ila Nimawazo tu pia yanapaswq kuheshimiwa .
 
Sinto sahau nilipo ambiwa na dem wangu kuwa hujui mapenzi ... Unananiii kwa fujoo na unanipaka shombooo wakatiidogo kila tukionana alikuwa anachezea vitatu naye lazima achomoe mate Yake kama mawili hivii but at the end naambiwa siwezii
Wanawake ni zaidi uwajuavyoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom