Ni kosa gani hutalisahau katika mahusiano yako?

Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
367
496
Habari wakuu,

Nakumbuka sitasahau siku nilivyoenda kwa Sangoma kisa jamaa aliyenitishia kuhusu mpenzi wangu akidai wake.

Ilifika mahali Sangoma akaniambia nipeleke nyaya za miguu za mshkaji.Potelea mbili kote huwezi amini ni kama nilipalia makaa maana mrembo wangu alihamia kwa jamaa kabisa.

Imagine brothers en sister.

Iliniuma sana.

HOPE OF JF
cc
Senator Jr.
 
Siku alipochukua ela kwenye wallet yangu akaenda kumnunulia mwanamke mwengine zawadi .tena aliniuliza hivi wanawake .wanapenda zawadi Gani nikamtajia kwa mbwembwe zote kumbe anaenda kununuliwa mwengine.
Mkuu ukishamuona wife anaanza mambo ya kuongea sana hizi walet ni za kuficha mbali kabisaa.
 
Kosa ambalo sitalisahau milele ni pale nilikuwa na miadi ya kuvua kyupi ya mtoto wa kihindi hafu nikawa nmewaambia masela kuwa naenda kumtoboa mhindi. Wale wangese siku hio walikaba penati, walingangania kukaa skani hata mtoto alipokuja wao wanajitia wazimu hawaondoki. Nikaamua kuwachana kuwa wasepe ndio wakaropoka kabisa kuwa kama mnataka kutiana sie hatusepi, muhindi hawezi kutuzidi thamani hadi utufukuze.

Daah niliwamaindi kinoma noma na mtoto wa kihindi akasepa mda huo huo kwa hasira. Sasa hivi kaolewa na wahindi wenzake ila kila nikimuonaga roho inaniuma kwa kukosa kumbikiri mtoto wa kihindi na vile alikuwa na mwili wa kibantu hafu mbichiii.
 
Kosa kubwa ambalo siwezi kulisahau ni jinsi nilivyotumia nguvu,akili,na rasilimali nyingi kukimbizana na turu turu mtaani huku nikiwa na kengeza kuona upendo wa kweli kwa My Muiseke Nyamughe!
cc afande Mentor mzee wa Chelsea
 
Kosa ambalo sitalisahau milele ni pale nilikuwa na miadi ya kuvua kyupi ya mtoto wa kihindi hafu nikawa nmewaambia masela kuwa naenda kumtoboa mhindi. Wale wangese siku hio walikaba penati, walingangania kukaa skani hata mtoto alipokuja wao wanajitia wazimu hawaondoki. Nikaamua kuwachana kuwa wasepe ndio wakaropoka kabisa kuwa kama mnataka kutiana sie hatusepi, muhindi hawezi kutuzidi thamani hadi utufukuze.

Daah niliwamaindi kinoma noma na mtoto wa kihindi akasepa mda huo huo kwa hasira. Sasa hivi kaolewa na wahindi wenzake ila kila nikimuonaga roho inaniuma kwa kukosa kumbikiri mtoto wa kihindi na vile alikuwa na mwili wa kibantu hafu mbichiii.
Ila unastahili KABISAAAA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom