BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,704
- 6,499
Huwa sometime naamini wabongo ni watu wasiokuwa na uchungu na rasilimali zao ndio maana wamejaa foregner huku bongo wanajichumia na sisi tuna shangilia tu.
Imekamatwa ndege yetu na ilivyo ni kwamba pesa za kuikomboa hio ndege hazitatoka mfukoni mwa CCM bali ni pesa za kodi na hapa tunashangilia tu, kinacho tupa nguvu ni vijisent vyetu vya kubadili mlo na kuweza kupeleka watoto English medium tunaona hayo mengine hayatuhusu.
Wahuni wana take hizi advantage za ujinga wetu kufanya wafanyalo angalia kulo Ngorongo ni kimya saaa na imebakia tu mwekezaji aanze kazi zake pale kiulianini kabisa.
Hasara imeingizwa na utawala wa CCM na hapa sio kulaumu mtu bali ni Chama kizima na CCM walivyo wajanja wanacho fanya ili kuendelea kuwepo ni wanalera sura mpya ila chupa ile ile.
Tuendelee kuleta utani