so point hapa ni kwamba yafanyike mara moja moja ndio mtu anaweza kuvumilia? mnajua kila binadamu ana mapungufu yake? unajua kuna wakati binadamu alivyi ndivyo alivyo huwezi kumbadilisha? hayo yapo sana humu ndani tunachofanya ukiona yamekuzidi we jipangue tu but mcdhani ha2yapitii baadhi ya hayo kwa namna moja au nyingine..tunayapitia sana ishu ni kwamba ukiona yamezidi unajipangua tu.

mapenzi ni kama maua

mwisho hunyauka baada ya kuchanua....

so be prepared
Kila mtu anajua nini haswa kilichomvutia/mpendeza hata kutaka/kukubali kuo/kuolewa au hata kua na mpenzi aliye nae.Hata wale ambao hawana wapenzi wana idea ya nini kinachoweza kumvutia kwa mtarajiwa wake!
Swali: je ni kitu gani kinachoweza kukufanya uachane na mke/mme/mpenzi wako?!Ni kitu gani unafikiri akifanya au kikitokea kwenye mahusiano yenu baada ya muda hutoweza kuendelea kuvumilia?!
Binafsi vitu ambavyo vinaweza kuniondolea yale mapenzi nlokua nayo mwanzo ni ....
1. Kunipiga - mwanaume kuniinulia mkono mwanamke mzima ambae kama kuna tatizo angeweza kunijulisha kwa njia nyingine na likatatulika kwa kweli siwezi kuvumilia.Maana ukichekelea leo jiandae na kesho!!
2.Kutoka nje ya mahusiano. - sijui kama itatokea siku nikabadilisha mawazo kuhusu hili ...kwa sasa hivi naamini kama mtu ananipenda na kuniheshimu kweli hawezi kutoka nje ya mahusiano tuliyonayo.Kama kuna kinachokosekana aniambie nirekebishe.
3.Kunidharau/tukana mbele za watu - inaonyesha haniheshimu...na kama haniheshimu siwezi kuona tukiendelea hata kufika mbali zaidi ya kua wapenzi tu maana kuheshimiana ni muhimu.
4. Kuonyesha kutokujali hisia/mawazo yangu - mtu ambae anamwachia mwenzake kazi nzima ya kujenga mahusiano ni sawa na mzigo mzito ambao unabebeka ila baada ya muda unachosha.Kuna watu ambao wao hata kumjulia mwenzake hali hawezi...kusongesha mahusiano mbele hawezi..yani we unakua na kazi ya kumpeleka upande huu na ule bila kujua kama kweli ndo kilichopo moyoni mwake.Kama unamlazimisha vile au anafanya tu kukuridhisha uendelee kuwepo kwa muda ule ambao anaweza kutumia uwepo wako.Ubaya wa watu kama hawa ni kwamba hata siku akiamka akakwambia sikuwahi kukupenda huwezi kumbishia kwasababu hakuwahi kukwambia wala kuonyesha kwa matendo!!
5.Ubinafsi - mtu wa mimi..mimi ..mimi.Kila kitu ni vile anavyotaka yeye au hamna kitu.Wakati mahusiano yanatakiwa yawe makubaliano na michango ya pande zote mbili.
6.Ulalamikaji/kutokua na shukrani - hata ufanye zuri gani huwezi pata asante na mbaya zaidi utaambulia malalamiko.
7.Kutokujiamini kulikopitiliza - maana mara nyingi hii hua inazaa tuhuma.Anakua hana imani kwamba unampenda kweli au ukienda sokoni unaenda kununua nyanya tu na kurudi.Tuhuma zikizidi zinaua hisia zilizokuwepo.
N.k....
Wewe je....?!
Akitaka tigo, kunitukania/kuwadharau wazazi, kunifananisha na hawara zake, kuambiwa anatembea na mfanyakazi mwenzake, kumfumania na HG.; kumtamani binti yake.

Ndio maana nikasema inategemea mtu na mtu mae....wengine mara moja anasepa, wengine tango waingie yanayavumilia hayo.
Umegusia suala la tabia ya mtu....wengi huwa tunang'ang'ana kubadili tabia za wenzi wetu ziwe tupendavyo sisi (utadhani sisi ni malaika) lakini je hata kama mwenzio anafanya vitu vinakuumiza unyamaze tu kwa vile ni tabia yake? Uumie ndani kwa ndani mpaka muda wa kupangua ufike?
so point hapa ni kwamba yafanyike mara moja moja ndio mtu anaweza kuvumilia? mnajua kila binadamu ana mapungufu yake? unajua kuna wakati binadamu alivyi ndivyo alivyo huwezi kumbadilisha? hayo yapo sana humu ndani tunachofanya ukiona yamekuzidi we jipangue tu but mcdhani ha2yapitii baadhi ya hayo kwa namna moja au nyingine..tunayapitia sana ishu ni kwamba ukiona yamezidi unajipangua tu.

Ndio maana nikasema inategemea mtu na mtu mae....wengine mara moja anasepa, wengine tango waingie yanayavumilia hayo.
Umegusia suala la tabia ya mtu....wengi huwa tunang'ang'ana kubadili tabia za wenzi wetu ziwe tupendavyo sisi (utadhani sisi ni malaika) lakini je hata kama mwenzio anafanya vitu vinakuumiza unyamaze tu kwa vile ni tabia yake? Uumie ndani kwa ndani mpaka muda wa kupangua ufike?
Nyamayao, we acha tu..... kila mtu na zigo lake, hayakwepeki hata, kuna sista angu alimwacha mumewe kwa ajili ya mineno , akaolewa na mpigaji sana, akamwacha sasa hivi yuko na mwanaume ni kiwembe hapo ndio katulia tuliiii haambiwi kitu, kila mtu na maisha yakeso point hapa ni kwamba yafanyike mara moja moja ndio mtu anaweza kuvumilia? mnajua kila binadamu ana mapungufu yake? unajua kuna wakati binadamu alivyi ndivyo alivyo huwezi kumbadilisha? hayo yapo sana humu ndani tunachofanya ukiona yamekuzidi we jipangue tu but mcdhani ha2yapitii baadhi ya hayo kwa namna moja au nyingine..tunayapitia sana ishu ni kwamba ukiona yamezidi unajipangua tu.
Nyamayao, we acha tu..... kila mtu na zigo lake, hayakwepeki hata, kuna sista angu alimwacha mumewe kwa ajili ya mineno , akaolewa na mpigaji sana, akamwacha sasa hivi yuko na mwanaume ni kiwembe hapo ndio katulia tuliiii haambiwi kitu, kila mtu na maisha yake

na kwakLaazizi heri ya mwaka mpya! 🙂 Hatujaonana tangu mwakajana! Tehetehetehe!
Nyamayao, we acha tu..... kila mtu na zigo lake, hayakwepeki hata, kuna sista angu alimwacha mumewe kwa ajili ya mineno , akaolewa na mpigaji sana, akamwacha sasa hivi yuko na mwanaume ni kiwembe hapo ndio katulia tuliiii haambiwi kitu, kila mtu na maisha yake
Mdogo wangu B,
Haya mambo mara nyingi yanakuja kwa slow but killing or sedating doses...Unachukulia kuwa si mbaya sana na unapokuja kustuka inakuwa too late.
La muhimu ni kumwomba Mungu akupe nguvu ya ama kuyakabili au kufanya maamuzi magumu. Ila mengi sana yanatukuta kwenye hizi ndoa!
na kwako pia Laaziz....nilijua umenimwaga/umeshanitenda jamani....c unaona mapenzi yenyewe ya cku hizi, hofu tele kwa moyo...hahahahaha
Mie nimeridhika nahisi, kwa sasa vipimo tena naona nishapitwa, nishakula nyundo zangu theluthi ya karne mengine namwachia Mungu, naomba tu anipe maisha marefu na afya njema, nione wanangu wanakuwa, wanagraduate, wanaoa olewa,im ready to sacrifice my happiness for them to be happy.......Mbu unafikiri, wakati mwingine tunakubali yaishe...na wengine wana sifa zote hizo tatu. Kwenye mambo haya hakuna kosa kubwa au dogo,...ni vile mwenyewe unajipimia 'kwa kidole' maji yana umoto kiasi gani kabla ya kutia mguu!