Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

FYI ile dress haikuwa ya kubana. Google sketi ya charanga uione namna iko

Km ulisoma comment vzr, wakati nashuka ngazi, licharanga limesambaa ukijikanyaga tu basi.

Bora ya kubana, kuliko liwe pana
Sasa kama linaburuzika hadi chini kwanini usilikanyage na ukizingatia kushuka ngazi litakuwa karibu kuburuzika

Pia hukulikamata na kulivuta juu kama mnavyofanya kwenye madera
 
Back
Top Bottom