Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

nikishavaa fupi siinami, kama kuna ulazima kuna kuinama kwa staha pia.😂😂 BTW sio fupi ile ya kushindikana duniani mpk akhera
Hizo hizo ndio tunazipenda kuna dada mmoja ana duka la mobile money anapenda sana nguo za aina hio siku hio kajisahau kaachia Miguu wazi alafu Mimi napita nikacheck msitu uuuule aliponiona nimefocus akafunga Miguu
 
Back
Top Bottom