Ni kitu gani mpenzi wako hakijui kuhusu wewe?

Hajui kama nataka nimuache baada ya kumpendelea na kitu flani nilichomwambia. Hajui kama sipendi magonjwa yake ya ovyo, kila siku kuumwa. Hajui kama kwetu hatuna hela maana tunajipenda hivo anaamini tuna uwezo.

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom