Ni kitu gani cha kijinga ambacho kinaaminiwa na kundi kubwa la watu

Kwenye hiyo pointi namba moja aya ya pili, kuna watu eti wanaamini kabisa kwamba kitu kilichounda hiyo mifumo complex kabisa, eti chenyewe hakikuundwa eti kilikuwepo tu..

Asante sana mkuu umechangia vizuri.
 
Kwamba kuna moto wa jehanamu Mungu ameandaa kuchomea watu wenye dhambi.

Sasa kama mungu anajua kila kitu, inamaana alishajua tangu siku ya kwanza kuwa anaumba mwanadamu ambae hata iweje hato mtii sheria zake na mwishoe ataishia kumchoma moto,

Sasa alimuumba wa nini si angeacha tu kumuumba kuliko kumuumba alafu aje azingue kweli alafu umchome moto,

Au amewehuka kiakili kiasi kuwa anafurahi kuona viumbe vyake alivyo viumba vikiteseka motoni, hapa hata mwehu ana afadhali maana nimeshuhudia mara kadhaa vichaa wenye watoto wakipambana kuwatetea watoto wao wasidhurike.

Licha ya ukichaa wao ila bado hawawezi kuruhusu kushuhudia mwanae akifikwa na madhira, ila mungu na uchizi wake pro max yeye kaandaa moto kwa makusudi wa kuchomea milele watoto wake alio waumba alafu anakaa paleee, kuangalia watu hao wakiungua milele na ana relax tu, mungu katiri huyu khaaaa.

Au aliumba mtu alafu akasema ingawa najua mwisho wa huyu mtu utakua mbaya ila ngoja niangalie huenda atabadilika (nisawa na kuangalia movie ya titanic mara ya kwanza arafu urudie tena mara ya pili ukidhani meli haitazama) huyu mungu anaechoma watu na moto hana akili.

Mwanadini kabla hauja mtetea huyu Mungu kichaa niambie hapa mwanao wa kumzaa akikutendea KOSA GANI KUBWA?? ambalo litakufanya ufikie uamuzi wa kumchoma moto ili nafsi yako iridhike kua ume mkomesha kwa kile alicho kufanyia.

Au nenda ka mkamate mtoto wako yule mtundu kuliko wote umchome moto alafu ukae ukimuangalia anavyo teketea mpaka abaki majivu, alafu ukiweza hilo zoezi nitakubaliana nawewe kua wewe na huyo mungu mchoma mishkaki mna akili timamu ila ukishindwa basi ujue wewe na Mungu wako wote ni vichaa pro max.
 
Tatizo Mungu mnamchukulia anawaza kama binadamu hekima zako hazijafikia hata minimum reasoning capacity ya uelewa wa Mungu
 
Asante mkuu, sina mzuka wa kujifunza biblia...maana itanilazimu kuiamini wakati ina mambo mengi yaliyojichanganya na watu hawataki uhoji...uamini tu kila kilichoandikwa.

Umemjibu vizuri sana mkuu!
 
Asante mkuu, sina mzuka wa kujifunza biblia...maana itanilazimu kuiamini wakati ina mambo mengi yaliyojichanganya na watu hawataki uhoji...uamini tu kila kilichoandikwa.
Mmh pole basi hapo ulikutana na wababaishaji but ukikutana na hao kwenye link utapenda
 
Binafsi , naona ni hivi;

1. Dunia na vyote vilivyomo vimetokea tu vyenyewe bila kuwa na mastermind aliyeweka mifumo ya kuwezesha uwepo wa uhai.

Licha ya ushahidi wa wazi kabisa wa mfumo wa ajabu kama food chain, solar system na kinga kama ozone layer , white blood cells n.k bado kuna watu wanaamini mifumo complex kama hii imetokea tu yenyewe wakati huo huo wakikuta kiberiti jangwani wanaamini kimeundwa na mwanadamu!

2. Dunia ipo flat

Licha ya ushahidi wa macho yetu wenyewe na wa sayansi kupitia vyombo kama ndege n.k bado kuna kundi kubwa la watu linaamini dunia ipo flat.

3. Wanasiasa wa afrika (kusini jangwa la sahara)

Kila siku kisingizio ni ukoloni tu , miaka inaenda lakini shida za nchi za afrika ni zile zile, Rushwa, umaskini uliokithiri na utawala mmbovu.

Ila bado kuna kundi kubwa la watu linawaamini hawa wachumia tumbo.

4. Utaweza kumridhisha mwanadamu

5. nitaendelea
.
Ukiwaua makafir unaenda peponi.
 
Back
Top Bottom