USAID
Sidhani kama matukio ya kibiti yanahusiana na ugaidi.Kama ni ugaidi mbona wanashambulia sehemu moja tu,tena wanalenga watu fulani fulani??
Mkuu kama ni kweli hawa watu ni kupambana nao kwa hali na mali.Masuala ya kidini ni marufuku kujipenyeza katika siasa za nchi hii.Hatutalikubali kama jambo hili.Ni ugaidi, hamna sababu ya kupindisha maneno. Kuna watu wanadhani kuwa wataeneza dini yao kwa kuuwa watu wengine. Kuna washenzi wengi wa Pwani, Lindi na Mtwara wanapata mafunzo ya kigaidi Somalia bila shaka ndio wanafanya ushenzi huo.
Serikali na polisi wanaleta siasa na kuogopa kusema ukweli kuwa ni ugaidi kuhofia 'kuwaudhi' baadhi ya watu. Mpango wa Al-Shabab kama ilivyo Boko Haram na ISIS ni kulazimishia watu wengine dini yao kwa kufanya vurugu. Afrika Mashariki yote ipo matatani sababu ya Wasomali waliokuwa brainwashed na waarabu.
Ni ugaidi, hamna sababu ya kupindisha maneno. Kuna watu wanadhani kuwa wataeneza dini yao kwa kuuwa watu wengine. Kuna washenzi wengi wa Pwani, Lindi na Mtwara wanapata mafunzo ya kigaidi Somalia bila shaka ndio wanafanya ushenzi huo.
Serikali na polisi wanaleta siasa na kuogopa kusema ukweli kuwa ni ugaidi kuhofia 'kuwaudhi' baadhi ya watu. Mpango wa Al-Shabab kama ilivyo Boko Haram na ISIS ni kulazimishia watu wengine dini yao kwa kufanya vurugu. Afrika Mashariki yote ipo matatani sababu ya Wasomali waliokuwa brainwashed na waarabu.
Hilo huitwa state of denial. Nadhani serikali haina uhakika whether ni watu ambao issues zao ni local au ni mambo yanayopita mipaka. Pia yaonekana serikali haitaki kuwatia watu hofu kwa hivyo inajifanya sio kitu.
So many things are happening chini chini,Kuna hiki kitu kinaitwa 'political correctness' ndio kinatuponza. Serikali inajua na ina uhakika kuwa ni ugaidi ila ndio hivyo, wanahofia 'kuudhi' baadhi ya watu wakisema ukweli.
This issue should be looked at as soonest as possible, wasiwachiliwe watawale, wazimwe na mapema, they are also human beings and afraid of death despite them claiming they are not
Hiyo video noma, kuna yule shabiki wao humu JF MOTOCHINI sijui kama ameona hii.
Lakini mimi hujiuliza hivi hawa watu wanajua kwamba ipo siku dunia itaamua kujitoa ufahamu tuchinjane nao kama mazombi, hiyo siku ndio watajua binadamu sote ni wanyama ila tunajizuia tu. Usijione kwamba unafanya fanya ugaidi watu wakikuogopa hivyo wewe ni shujaa, siku watu watafika mwisho na kugeuza kibao ndio itakua Armageddon.

Unaloongea ni kweli nasikia vijana wengi walipelekwa somalia kwa training sema tulibeza sana hii kitu sasa inatutafuna maana hawa jamaa wana mafunzo ya kijeshi kabisa. Na ile hali ya kutoogopa hata statement ya mkuu wa nchi ndio inanifanya kuamini kuwa hawa jamaa sio majambazi bali magaidi walio tayari kufa.Hawa wauaji wa Kibit ni kina nani?
Mara nyingi, tumekuwa na baadhi ya watanzania (wachache) ambao wamekuwa wakifurahia magaidi wanapotekeleza mauaji hapa Kenya. Wengine wamekuwa wakisema kuwa hili linadhihirisha kuwa KDF ni Jeshi la hovyo kabisa na kwamba TPDF lingekuwa tayari limeshawamaliza hawa al-shabaab.
Baadhi yetu tuliwaambia kuwa hili si janga la Kenya, bali ni la EAC nzima. Mara nyingi mmekumbushwa kuwa kuna baadhi ya vijana wa Kitanzania ambao wamekuwa wakienda kupata mafunzo kule Somalia, ila wengine mlipinga na kusema kuwa Tanzania hamjawakosea Al-shabaab na kuwa hakuna lolote watakalofaidi wakija kumpiga vita. Baadhi yao kama FaizaFoxy walikuwa wakisherehekea hadharani. Cha kushangaza ni kuona kuwa yule aliyekuwa akiwashabikia, ndiye yule yule ambaye anakiri kujawa na hofu baada ya mauaji Kibiti kuwa nyingi Ugaidi Tanzania Unafanikiwa
Hiki ndicho nitawaambia: ombeni kuwa wale wanaotekeleza mauji haya wawe ni watu ambao wako na local issues. Kama vile hapa Kenya tulikuwa na kikundi kilichoitwa MRC - Mombasa Republican Council. Ombeni sawa wasiwe ni wale masehtani ya Al-shabaab au ISIS.
Naamini itakuwa kweli shabab wana slepeer cell in tz lazimaI said it wakanipuuza ,did u knw al shabaab has a sleeper cell waiting to be activated in Tanzania?