Ni kipi cha heshima na manufaa wanachokipigania kwa nchi yetu hadi tuwaite mashujaa?

Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yameandika kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusi na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani. Wanachama hawa wamekamatwa kwa tuhuma mbalimbal izikiwemo kufanya uchochezi au kukaidi maelekezo waliyopewa na vyombo vya usalama. Wengine wamwekamatwa kwa kutumia lugha chafu kwa viongozi hasa wa chama kinachotawala ambao wamepata ridhaa ya watanzania wengi kuongozanchi. Kama makongamano yanayofanyika nje ya Nchi yetu wanawaona watu hawa ni mashujaa, ni mashujaa wao siyo mashujaa wa Nchi yetu.

Serikaliya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyoni halali. Hivyo serikaliya JPM siyo ya dikteta.Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki. Siyo kweli, JPM analo baraza la mawaziri linalomshauri na anacho chama chake kinachomshauri. Pia anao watalaam wanaomshauri katika masuala mbalimabali.Hivyo hola hizi hazina mashiko.
Kwa muda mfupi, serikaliya JPM imeonyesha mwelekeo wenye kuleta matumaini kwa mwatanzania.

• JPM ameonye sha dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta.
• JPM anapiga vita rushwa, uzembe kwenye serikali, ubadhilifu na matumizi mabaya ya madaraka.
• JPM anachukua hatua kuhakikisha rasilimali za nchi zinawanufaisha watanzaniawengi
• JPM anasimamia kwa karibu watendaji na kufuatilia kwa karibu kero za wanachi, hakuna ombwe la uongozi.
• JPM ameweza kuchua maamuzi magumu, mfano elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.
• Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.
• JPM anatekeleza vizuri iIlani ya uchaguzi ya chama chake kilichopewa ridhaa kuongonza na watanzania.

Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa kwa hatua hizo ? Au kwa hatua hizi mtanzania yupi anagandamizwa ?

Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania.

Mtanzania yoyote anayenung’unika kwa hatua hizi zilizochukuliwa naserikal ya JPM nidhahiri uzalendo wake unawalakini na nidhahiri pia anapigania maslahi yake binafsi au ya kukudi cha watu fulani wachache wala si maslahi mapana ya nchi yetu.

Lakini pamoja na hayo yote baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tena wenye elimu nzuri wana mkejeli na kumwita JPM eti dikteta uchwara, KWELI INASIKITISHA.

Lakini, ni kwa lipi hasa wamwite dikteta uchwara?
Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaa.

Je ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?

Ushujaa wao ukowapi? Je kukamatwa na kuwe kwa rumande kwa kuitukana serikali ni ushujaa ?

Je kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa ?

Je kukamatwa na vyombo vya dola kwa kukaidi maelekezo ya vyombo hivyo ni ushujaa?Hapana. Kama kwenye mikutano au makongamano yanayofanyika nje ya Nchi wanawaita mashujaa ni mashujaa wao siyo mashujaa wetu.

Wanacho kifanya wanachama hawa ni upotoshaji wenye lengo la kuvuruga amani ya Nchi yetu. Watanzania tukatae upotoshaji huu na tuwapuuze. Nawasihi watanzania tuiunge mkono serikaliya JPM.

Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijana wa marekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia mgombea wa chama cha rebublican ambaye nimsema ovyo, ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano. Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayo mwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi. Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.
Je ikitokea kijana akamwambia baba yake kwamba ni baba uchwara atajisikiaje?Au akakuambia wewe mama ni mama uchwara. Je utafurahi jirani yako akimpongeza huyo kijana na kumwita shujaa ?
Je haiwezekani kudai haki na demokrasia na kutoa maoni na kuikosoa serkali bila kutumia matusi na kejeli kwa serikali iliyoko madarakani?.Upinzani ujifunze kwamba, siasa za kiuanaharakati kwa Tanzania hazikubaliki. Tanzania iliisha pata Uhuru wake.

Tukumbuke Nyerere alidai uhuru kwa kutumia hoja za msingi hadi wakoloni wakatoa uhuru. Siasa ni vita isiyo mwaga damu. Ni majadiliano na ushawishi. Hata sasa inawezekana kudai haki, kutoa maoni na kuikosoa serikali bila kutumia lugha ya matusi.

Mtu yeyote asiyetaka kuongozwa hawezi kupata fursa ya kuogoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
wanaJF mnisamehe kwa ku-quote huu upu.pu wote ila inabidi nimwambie kitu kuhusu JF,we babu humu hata vichwa maji akina le mutuz wakianzisha uzi wanabaki kuutetea,we mzee vipi sasa kila uzi unatupia halafu unakimbia!!!!!
umeambiwa upost threads ngapi ili uteuzi ukufike?
 
Fulediiiii, umeremba mwandiko wakati habari yenyewe inahusu kifo? Kuna mkuu mmoja kakuuliza pale ulipokatwa mkia panawasha?
 
Salute kwako Mpendazoe! Umepiga mle mle. Watu wanadhani kuilinda katiba ni matamko na kupinga bila kujali maslahi ya umma.

Waache watokokwe na mapovu kama Katiba haitekelezwi kiuchumi na usimamizi kwa vitendo bali ni ya kulinda wapayukaji na wapotoshaji, basi hiyo ni kitabu tu cha kukaa kabatini kwani hakina manifaa kwa wanyonge ambao ndio Raisi wetu JPM anawapigania na kwa hili yeye anatimiza yaliyomo kwa vitendo.
 
FAKE NEWS Mzee wa pumba AKA mkatwa mkia habari hizi peleka kule lumumba kwa makinikia siyo humu. Hizi juhudi zako za kusaka teuzi kwa kila namna labda ungezitumia kuotesha mkia saa hizi mkia ungekuwa umeshastawi vya kutosha.

Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yameandika kuhusu baadhi ya wanachama wa chama kimoja cha siasa hapa nchini kukamatwa na polisi na kuwekwa mahabusi na baadae kuhojiwa na kupelekwa mahakamani. Wanachama hawa wamekamatwa kwa tuhuma mbalimbal izikiwemo kufanya uchochezi au kukaidi maelekezo waliyopewa na vyombo vya usalama. Wengine wamwekamatwa kwa kutumia lugha chafu kwa viongozi hasa wa chama kinachotawala ambao wamepata ridhaa ya watanzania wengi kuongozanchi. Kama makongamano yanayofanyika nje ya Nchi yetu wanawaona watu hawa ni mashujaa, ni mashujaa wao siyo mashujaa wa Nchi yetu.

Serikaliya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyoni halali. Hivyo serikaliya JPM siyo ya dikteta.Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki. Siyo kweli, JPM analo baraza la mawaziri linalomshauri na anacho chama chake kinachomshauri. Pia anao watalaam wanaomshauri katika masuala mbalimabali.Hivyo hola hizi hazina mashiko.
Kwa muda mfupi, serikaliya JPM imeonyesha mwelekeo wenye kuleta matumaini kwa mwatanzania.

• JPM ameonye sha dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta.
• JPM anapiga vita rushwa, uzembe kwenye serikali, ubadhilifu na matumizi mabaya ya madaraka.
• JPM anachukua hatua kuhakikisha rasilimali za nchi zinawanufaisha watanzaniawengi
• JPM anasimamia kwa karibu watendaji na kufuatilia kwa karibu kero za wanachi, hakuna ombwe la uongozi.
• JPM ameweza kuchua maamuzi magumu, mfano elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.
• Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.
• JPM anatekeleza vizuri iIlani ya uchaguzi ya chama chake kilichopewa ridhaa kuongonza na watanzania.

Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa kwa hatua hizo ? Au kwa hatua hizi mtanzania yupi anagandamizwa ?

Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania.

Mtanzania yoyote anayenung’unika kwa hatua hizi zilizochukuliwa naserikal ya JPM nidhahiri uzalendo wake unawalakini na nidhahiri pia anapigania maslahi yake binafsi au ya kukudi cha watu fulani wachache wala si maslahi mapana ya nchi yetu.

Lakini pamoja na hayo yote baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani tena wenye elimu nzuri wana mkejeli na kumwita JPM eti dikteta uchwara, KWELI INASIKITISHA.

Lakini, ni kwa lipi hasa wamwite dikteta uchwara?
Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaa.

Je ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?

Ushujaa wao ukowapi? Je kukamatwa na kuwe kwa rumande kwa kuitukana serikali ni ushujaa ?

Je kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa ?

Je kukamatwa na vyombo vya dola kwa kukaidi maelekezo ya vyombo hivyo ni ushujaa?Hapana. Kama kwenye mikutano au makongamano yanayofanyika nje ya Nchi wanawaita mashujaa ni mashujaa wao siyo mashujaa wetu.

Wanacho kifanya wanachama hawa ni upotoshaji wenye lengo la kuvuruga amani ya Nchi yetu. Watanzania tukatae upotoshaji huu na tuwapuuze. Nawasihi watanzania tuiunge mkono serikaliya JPM.

Juzi kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Democrati huko Marekani Mama Obama amewatahadharisha na kuwataka wamarekani kuwapuuza viongozi wanaotukana ovyo hadharani kwani wanajenga fikra mbaya kwa vijana wa marekani. Mama Obama alikuwa anamzungumzia mgombea wa chama cha rebublican ambaye nimsema ovyo, ambaye ana lugha ya matusi kwa viongozi na amekuwa akimtukana rais Obama kwenye mikutano. Mama Obama ameuliza, Je vijana wa marekani wanajifunza nini kwa viongozi hawa wanaotumia lugha chafu hadharani? Ni dhahiri maadili ya vijana wa marekani yatakuwa hatarini. Kwa mtazamo huo wa Mama Obama, vijana wetu hapa Tanzania wanajifunza nini wanaposikia lugha za matusi kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa ?.Vita ni siasa inayo mwaga damu kwani haina majadiliano wala ushawishi. Ni ugomvi.Vyama vya siasa viepukane na ugomvi. Vijenge hoja na viwashiwishi watanzania kuhusu sera zake.
Je ikitokea kijana akamwambia baba yake kwamba ni baba uchwara atajisikiaje?Au akakuambia wewe mama ni mama uchwara. Je utafurahi jirani yako akimpongeza huyo kijana na kumwita shujaa ?
Je haiwezekani kudai haki na demokrasia na kutoa maoni na kuikosoa serkali bila kutumia matusi na kejeli kwa serikali iliyoko madarakani?.Upinzani ujifunze kwamba, siasa za kiuanaharakati kwa Tanzania hazikubaliki. Tanzania iliisha pata Uhuru wake.

Tukumbuke Nyerere alidai uhuru kwa kutumia hoja za msingi hadi wakoloni wakatoa uhuru. Siasa ni vita isiyo mwaga damu. Ni majadiliano na ushawishi. Hata sasa inawezekana kudai haki, kutoa maoni na kuikosoa serikali bila kutumia lugha ya matusi.

Mtu yeyote asiyetaka kuongozwa hawezi kupata fursa ya kuogoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhari leo ile ''Na Injinia Msomi...'' imeondolewa maana aibu tulikuwa tunaona sisi:)
 
Tangu ndg yetu akatwe mkia siku hizi haeleweki kabisaa huko zizini.
 
dudu povu linamwagika, zile kamati mlizounda chini ya wakuu wa mikoa na wakurugenzi zilizokua zinachakachua matokeo, na kura feki za akina Marry Nagu na kamati ya January Makamba ya IT na jeshi la polisi lililodhibiti tallying station ya chadema, na yule kuchekacheka aliesema makufuli lazima ashinde, na libuva wenu ndio wingi wa kura ?
Hakuna mtetezi Tanzania kama Lissu anaepambana na uchwara anaejaribu kuwaweka watanzania mfukoni ili atumie kodi za umma apendavyo yeye na mpwa wake..
mkabila maarufu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Fred Mpendazoe, post: 22607322, member: 382107"]Katika mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti yameandika kuhusu baadhi ya wanachama kukamatwa kuwekwa mahabusi kuhojiwa na kupelekwa mahakamani. Makongamano yanayofanyika nje ya Nchi yetu wanawaona watu hawa ni mashujaa, ni mashujaa wao siyo mashujaa wa Nchi yetu.
Ni maoni yao ambayo si lazima uyapende.
Mpendazeo kama unaona watu wa nje wanaouzungumzia Tanzania hawana maana basi soma haya uliyoandika
Kwa ujumla, JPM ameleta heshima kwa nchi yetu hadi nchi za nje zinaanza kuchukua hatua ambazo JPM amezichukua hapa Tanzania
Unaandika jambo halafu unasahau umeandika unalirudia kinyume! Please
Serikaliya JPM ndiyo iliyochaguliwa na watanzania wengi na iko kikatiba, hivyoni halali.
Nani kasema ni haramu? Rais alishasema uchaguzi umekwisha, wewe hukumsikia!
Hivyo serikaliya JPM siyo ya dikteta.
Udikteta hauna maana ya kuchaguliwa au kutochaguliwa.

Maana yake ni pana ikiwemo kutumia nguvu na madaraka vibaya nje ya utaratibu wa utawala wa sheria unaoatekeleza haki za wananchi
Kumekuwepo madai kwamba JPM anawanyanyasa watanzania na hashauriki.Siyo kweli, JPM ana baraza la mawaziri na chama chake na watalaam wanaomshauri.Hivyo hola hizi hazina mashiko.
Hao ni wasaidizi wake katika ushauri wa masuala kiofisi.

Nchi ina watu milioni 45 na Rais ni kiongozi wa watu wote waliomchagua na wasio. Watanzania hafikiri wala hawapangi kwa akili za kundi au makundi ya watu.
Watanzania wote ni washauri wa masuala yanayohusu Taifa lao
Kufikiria kwa mtazamo wa baraza, wataalam na CCM ni kwa walioishiwa
PM ameonye sha dhamira ya kweli ya kupiga vita ufisadi ukilinganisha na baadhi ya vyama vinavyompigia kelele kwamba ni dikteta
Dr Slaa, Zitto na wengine walianza siku nyingi na walilipa gharama ya jitihada hizo. Wengine walikuwa kimya
JPM ameweza kuchua maamuzi magumu, mfano elimu bure; mchanga wa madini usipelekwe nje ya nchi.
Nadhani unaandika bila kumbu kumbu.
Elimu bure ikielezwa na CDM na wewe ukiwemo waliokejeli ni CCM.
Ukiwa muongo usiwe msahalifu
Hatua alizochukua JPM dhidi ya wizi bandarini na sehemu nyingine zinaonyesha uzalendo wake.
Mtu akitimiza wajibu si uzalendo ni sehemu ya uwajibikaji. Uzalendo una maana tofauti.

Mkeo akilea familia wakati hupo si uzalendo na wala wewe kupikia watoto si uzalendo. Elewa maana ya maneno kabla ya kuyatumia
Kwa hatua hizo alizochukua JPM ni mtanzania yupi mzalendo ambaye amenyanyaswa au kuonewa kwa hatua hizo ? Au kwa hatua hizi mtanzania yupi anagandamizwa ?
Siju ni Mtanzania yupi lakini wanaolalamikia katiba kukiukwa wana hoja ya msingi ya kukandamizwa na kuonewa. Kukiukwa kwa haki za binadamu ni hoja ya msingi ya kuonewa

Kumweka mtu mahubusu kwa kisingizio cha kuuza madawa kukiwa hakuna ushahidi ni kukiuka haki za binadamu , kumvunjia heshima yake na kumnyanyasa. Kesi zile zimeshia wapi?
Wapo wanachama wa chama kimoja wanawasifu hawa viongozi waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana eti ni mashujaa.
Huhitaji kusukuma jabali ili uwe ushujaa, unaweza kuondoa mwiba barabarani ukawa shujaa.
Again jaribu kujua maana ya maneno
Je ni kipi cha maana na heshima kwa nchi yetu wanachokipigania hadi waitwe mashujaa?
Kutetea, heshima, utu na haki za mwanadamu ni jambo muhimu kuliko kusukuma mlima au jabali
Je kuwekwa rumande na baadae kupata dhamana kwa kuandamana bila kibali cha polisi ni ushujaa ?
Kibali cha Polisi kitatolewa mtu akiandamana kwenda kuunga mkono hata asichojua. Kuandamana ni haki ya mwananchi na si kosa isipokuwa tu kwa wale walioamua kufikiria kwa namna yao na si kwa jinsi ilivyo kama wewe
Kama kwenye mikutano au makongamano yanayofanyika nje ya Nchi wanawaita mashujaa ni mashujaa wao siyo mashujaa wetu.
Mikutano na makongamano hayo ndiyo umetueleza yanasifia nchi yetu na kiongozi wetu. Ukiwa muongo usipoteze kumbukumbu
Wanacho kifanya wanachama hawa ni upotoshaji wenye lengo la kuvuruga amani ya Nchi yetu.
Hili la amani ni hoja ya mtu asiye na uwezo mzuri wa kutambua mambo. Tuna vyama vingi miaka 25 hakuna amani ilivyovurugika.

Pengine majambazi ya Pwani ni hatari zaidi kuliko wanasiasa tunaowajua.

Hakuna aliyeuawa kwasababu za siasa, watu wameuawa kwa ujambazi, wanaoua ndio wanavuruga amani sio wanaokutana kupiga soga kwa mujibu wa katiba.

Jambazi halina katiba ulifikirie kuliko waliokaa chini ya mwembe wakiongea tena mchana
 
Back
Top Bottom