😂 😂 😂 😂, mzee wa 'holographic illusion' wa 'far from home' uko adi uku ?huyo shankupe anayechekelea ni nani?
Sophia Lionhuyo shankupe anayechekelea ni nani?
Na mashoka na marungu? Halafu 'ndani kabisa'?Mliokuwa wafuasi wangu rudini CCM!!!!
Tukiwa bado tunaendelea na kushuhudia songombingo ndani ya lumumba leo tena msanii nguri Kipanya katuletea kikatuni kingine ambacho binafsi nimeshindwa kukielewa.
Naomba tafadhali mwenye uelewa atusaidie kutwambia alikusudia kuwakilisha ujumbe gani haswa!View attachment 1166801
Wakudadavuwahuyo shankupe anayechekelea ni nani?
ndiyo mgombea wa 2020 huyo.Tukiwa bado tunaendelea na kushuhudia songombingo ndani ya lumumba leo tena msanii nguri Kipanya katuletea kikatuni kingine ambacho binafsi nimeshindwa kukielewa.
Naomba tafadhali mwenye uelewa atusaidie kutwambia alikusudia kuwakilisha ujumbe gani haswa!View attachment 1166801